World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

argentina kama wanafikiri washamaliza kazi kwa hilo goli moja watakuja kujuta.

Nigeria wakitulia wanaweza kabisa kusawazisha wamepata nafasi zaidi ya tatu ambazo hawakuzitumia vizuri.
 
Messi anashindwa kumalizia counter attack..aaargghh namna gani hapa..
 
Enyama amewasaidia sana Nigeria amezuia mipira iliyokuwa inaenda golini
The Nigerians are upping their level, but every time they find themselves with a decent chance the decision-making is off
 
Mpira umeisha na Argentina imeshinda kwa goli la pekee ililolipata kipindi cha kwanza.
 
kuna wadau wanalalamika kuwa kuna mtu anamulika na lesser pen uwanjani, wadau munaona mwanga wa leser pen? Mimi sijaona
 
Mpira umeisha na Argentina imeshinda kwa goli la pekee ililolipata kipindi cha kwanza.
Inamaana wewe hata uwanjani haupo unangalia TV gani ya shekh Yayhaya ambko mpira umeisha??? ha ha ha
 
duuu Messi amechemsha tena, kwa kweli bado naamini Enyama ndio man of the match kwa leo kazuia mipira ya Messi vizuri sana
 
Golikipa wa Nigeria kaokoa magoli ya wazi kama manne hivi vinginevyo ingekuwa ni kapu la magoli.
 
yeah nadhani wanatakiwa kufanyia kazi eneo la finishing, kuna kaubinfsi kidogo wachezaji wantaka wamalize wenyewe
 
Nimeioona hii huko telegraph 'Fraid that's me done, but I'll leave you with an interesting stat. For those wondering whether Lionel Messi will live up to the expectations and make the tournament his own, here, perhaps, is a pointer: the Argentine No 10 had more shots during that match than any team managed yesterday.
 
argentina inabidi wajifunze kumaliza games mapema la sivyo itakuja kuwa cost huko mbeleni.
 
Nigeria wametuliza kasi ya argentina, walikua wamejipanga vizuri, sema bado walikua wanajisahau sahau. Lakini agertina sio wabaya na Nigeria ni wazuri pia. Bado nawaaminia nigeria .
 
Mpaka sasa sijaona timu ya kutwaa ubingwa hapa..Labda tuone Oranje, Brazil na Spain watatuonesha potential gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…