World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hiki kipute cha leo kwanza unatakiwa uwe mpole kidogo, mwisho wa game ndio uonyeshe mapenzi ya timu unayoipenda~ngoma haitabiriki hii!.
 
Brazil wana nafasi kubwa sana kubeba hili Kombe
 
ha ha ha sio hivyo mkuu leo nimejikuta nimekaa vibaya sana,huku na msupport Van Persie alafu upande wa pili nime bet kwamba Brazil anashinda unaona sasa kazi hilivyo ngumu?.Kwahio matokeo yoyote powa tu ndio maana nimesema "may the best team win"lol.

Haya AW mambo ya the GUNNERS mpaka kwenye WC! We mkali! enjoy the game.
 
hali ikiendelea hivi hvi leo kwa uchache tutaona magoli matatu ...
 
good game... i pray for the dutchs to win, but that is very far from reality!!! Brasil wako juu sana
 
Nasikia Raha mie najua brazil wanaondoka na ushindi hapa ...kama alivyosema BAK hapa itakuwa Brazil 3- Ned 1
:humble:
 
Klorokwin naona unaumwa sana leo wakati mwenyewe ni dawa ..
uwe na weekend njema :brushteeth:
 
Ghana oyeeeeeee, jamani hakikisha unaonekana humu baada ya mechi. Mie sitabiri mabao, ila naiona Ghana ileeeeeeeeeeee
Cheeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrsssssssssssssss
 
wale wadachi wenzangu msihofu , tunarejesha bao na tunamaliza kazi ndani ya 90. (nasikitika sitokuwa hewani kutokana na matatizo ya tanesco huku kijijini).
 
:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
 
simchezo ,wa dutch wanaona robinho alivyokuwa hajidondoshi hovyo mpaka katoa pande? kazi hipo leo mechi nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…