klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
next time ningekushauri bora ushabikie TAIFA STARS ,hawana presha wanatolewa qualifying yanaisha ,siku hazigandi hehehehe acha hizo bana ngoja tumsindikize mRUGUAY kwao.leo sitaki kuongea maneno mengi naenda kulala
Duh,hamkawii kusikia invisible ana-upgrade system saa hii,
duh
gang chomba was right kuhusu ronaldinho, maana kuna wakati we need to see individual brillianceHeheh lazima Gang Chomba aje hapa kupiga kelele..Arsene Wenger yuko wapi?
hahahaaaa.... lets wait for ghana gameDuh,
Mkuu, yani kufurahia nifunge JF? LoL, wacha niendelee ku-enjoy...! Naombea Ghana ipite leo ili walau wasiwasi wangu wa kukutana na Brazil upungue japo naona hata Holland ni wakali... Mungu ibariki Africa
next time ningekushauri bora ushabikie TAIFA STARS ,hawana presha wanatolewa qualifying yanaisha ,siku hazigandi hehehehe acha hizo bana ngoja tumsindikize mRUGUAY kwao.
Mkuu, pamoja na kuwa wengi tuna imani na Ghana, wasiwasi wangu ni pale watapocheza soka la kiafrika zaidi (chenga nyingiiiii), basi hapo 'itakula kwetu' na semi finals hatutaziona.Duh kumbe kuna mashabiki wa Brazil wengi enh...!!! Jamani mie naamini Ghana ana uwezo wa kufika fainali sasa.
mkuu huyo mruguay anakamilisha ratiba yake leo usiku rasmi. kwa niaba ya FIFA ,napenda niwashukuru sana URUGUAY kwa kushiriki haya mashindano na kutolewa robo fainali.Hao wadachi wanashangilia tu kwa sasa lakini hawawezi kupenya kwa Uruguay.
Pole sana bht, ndo gharama ya upenzi kwa timu na kisha ikakuangusha...jamani mi nimeaga
kwaherini!!
kwa kweli bahati mbaya sina timu nyingine, kwangu mimi leo ndio fainali na nimekubali matokea WC imeisha
Nina allergy na vyote hivyo...Basi soda mzee au maziwa tu hasira ziishe
Of coz in Green money..hakuna longologno, mambo paypal.Ya madafu or in god we trust?