World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

leo sitaki kuongea maneno mengi naenda kulala
next time ningekushauri bora ushabikie TAIFA STARS ,hawana presha wanatolewa qualifying yanaisha ,siku hazigandi hehehehe acha hizo bana ngoja tumsindikize mRUGUAY kwao.
 
Heheh lazima Gang Chomba aje hapa kupiga kelele..Arsene Wenger yuko wapi?

AW alikuwa neutral leo na kudai yeyote atakayeshinda yeye ni poa tu.

hamkawii kusikia invisible ana-upgrade system saa hii,

duh
Duh,

Mkuu, yani kufurahia nifunge JF? LoL, wacha niendelee ku-enjoy...! Naombea Ghana ipite leo ili walau wasiwasi wangu wa kukutana na Brazil upungue japo naona hata Holland ni wakali... Mungu ibariki Africa
 
Heheh lazima Gang Chomba aje hapa kupiga kelele..Arsene Wenger yuko wapi?
gang chomba was right kuhusu ronaldinho, maana kuna wakati we need to see individual brilliance

AW atakua anasikilizia maumivu
 
Hao wadachi wanashangilia tu kwa sasa lakini hawawezi kupenya kwa Uruguay. Labda watumie marefa vimburu kwa mara ingine.
 
Duh,

Mkuu, yani kufurahia nifunge JF? LoL, wacha niendelee ku-enjoy...! Naombea Ghana ipite leo ili walau wasiwasi wangu wa kukutana na Brazil upungue japo naona hata Holland ni wakali... Mungu ibariki Africa
hahahaaaa.... lets wait for ghana game

tena tukifungwa tu, upgrade iaze mazee... wiki nzima... lol (joke)
 
seriously ..........brazil inawapenzi wengi mpaka watu waliozaliwa kwenye 70's hivi............ukivuka mshare wa 70 ukakanyaga 80, watu wanaisepa hiyo timu.

it stink of old generation..............hehehe
 
next time ningekushauri bora ushabikie TAIFA STARS ,hawana presha wanatolewa qualifying yanaisha ,siku hazigandi hehehehe acha hizo bana ngoja tumsindikize mRUGUAY kwao.

kwa kweli bahati mbaya sina timu nyingine, kwangu mimi leo ndio fainali na nimekubali matokea WC imeisha
 
Duh kumbe kuna mashabiki wa Brazil wengi enh...!!! Jamani mie naamini Ghana ana uwezo wa kufika fainali sasa.
Mkuu, pamoja na kuwa wengi tuna imani na Ghana, wasiwasi wangu ni pale watapocheza soka la kiafrika zaidi (chenga nyingiiiii), basi hapo 'itakula kwetu' na semi finals hatutaziona.

Haijalishi, hata tukifanikiwa kufika semi finals na tukaondolewa na Holland lakini itakuwa ni hatua kubwa kwa Africa (hasa Ghana)
 
Dah...steam zote za WC zimeshakatika.Labda hao Ghana watanitoa ktkk haya majonzi
 
Hao wadachi wanashangilia tu kwa sasa lakini hawawezi kupenya kwa Uruguay.
mkuu huyo mruguay anakamilisha ratiba yake leo usiku rasmi. kwa niaba ya FIFA ,napenda niwashukuru sana URUGUAY kwa kushiriki haya mashindano na kutolewa robo fainali.
 
......Brazil out hahahahahhah.......Nyani Ngabu naona full maumivu.
 
Nataka kubet na muafrika anayesema Ghana itashinda for 100 bucks.
 
yaani we acha tu,leo nilivyo furahi mpaka zile maumivu ya ufisadi unaoendelea nimeyasahau,we acha tu,walichukua hela zetu bilioni 6,dah watazijutia.nilikua sichangii hata kidogo kwenye sports forum,lakini leo nilivyo na furaha,nimeamua kuweka feelings zangu hapa.
lets go ghana,we have a clean road to make this cup remain in our soil.wow i am haaaaappppppyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.
 
Back
Top Bottom