World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

wachezaji wa USA hawajui hata ku-open kule mbele.yani mtu anakua na mpira hana option yoyote wakati uwanja huko wazi .
 
Heskey hana adabu huwezi kwenda namna ile kwa kipa, siwangekuwa wanavunjika kila siku.
 
Poor charging by Heskey..he could cause a terrible accident.
 
Hii mechi inaboa....ngoja niangalie zangu movie tu.
 
Back like cooked crack like that!!!

What, what!!!!
 
Duh! UK wana gunia golini! mpira upigwe Vingunguti hadi Mwananyamala na kufunga goli duh! Wataanza kujaribu mashoot ya mbali kuanzia sasa.
 
jabulani inatereza,hahahahaa
leo kazi pevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…