World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Duh! UK wana gunia golini! mpira upigwe Vingunguti hadi Mwananyamala na kufunga goli duh! Wataanza kujaribu mashoot ya mbali kuanzia sasa.

Tehe teh........Nadhani tatizo ni mpira(Jabulani)...Makipa wameulalamikia sana..........unateleza na pia unawapoteza maboya.............nyways,ni goli....tugange yajayo
 
jabulani inatereza,hahahahaa
leo kazi pevu

Naam jabulani imelalamikiwa sana na Kipa wa Brazil hata yule kipa wetu aliyebugizwa goli 5 alidai baadhi ya magoli yalitokana na jabulani kuteleza sana ukilinganisha na mipira mingine, lakini pamoja na kuteleza lile goli mhhhhhhh!
 
Tatizo la Kapelo anasikiliza sana vyombo vya habari..Kwa England hakuna kipa anayem-match James kwa sasa pamoja na ubovu wake.
 
Tatizo la Kapelo anasikiliza sana vyombo vya habari..Kwa England hakuna kipa anayem-match James kwa sasa pamoja na ubovu wake.

That is very true, sijui kama mechi ijayo huyu wa leo ataanza tena.

Watu wanataka kusingizia jabulani, ile ilikuwa ni routine save bana acheni kuleta uwongo wa redio Tanzania..ala!
 
Half time, nadhan Eng watakuwa na pressure sana second half. Hiyo inaweza kuwasababishia maumivu. Siwaamini na hata wakibamizwa sitasikitika. Wanacheza mpira kwenye media zaidi ya uwanjani. Ngoja tuone sasa kama watapona. Na hata wakishinda hii match, sioni kama wana matumaini ya kwenda mbele zaidi.
 
Naam jabulani imelalamikiwa sana na Kipa wa Brazil hata yule kipa wetu aliyebugizwa goli 5 alidai baadhi ya magoli yalitokana na jabulani kuteleza sana ukilinganisha na mipira mingine, lakini pamoja na kuteleza lile goli mhhhhhhh!

huu mpira si umepimwa na vipimo vyote na kupewa go ahead!?!!ss shida nini?lile goli wewe
hahahaaaa golikipa wa taifa starzz
kazi kwelikweli
 
Lile goli ulikuwa uzembe wa mlinda mlango. BAK uko sahihi kabisa kwamba yule siyo mlinda mlango ila ashukuru kwamba defense ina msaidia, vinginevyo akikutana na timu kali wanamtoboa magoli mengi sana. But, Uingereza tatizo la kukosa makipa wazuri, ni tatizo la kitaifa.
 
Watu wanataka kusingizia jabulani, ile ilikuwa ni routine save bana acheni kuleta uwongo wa redio Tanzania..ala!

Here we go Mkuu

Brazil Keeper Rubbishes New Jabulani Ball

May 29, 2010
By Anto11

Brazil-keeper-Julio-Cesar-at-full-stretch-300x175.jpg

Hot off the complaints of England player's over the unpredictability of the new World Cup ball, Brazil keeper Julio Cesar has likened it to a cheap supermarket ball.

"It's terrible, horrible. It's like one of those balls you buy in the supermarket", he said.

Brazil keeper Julio Cesar is widely renowned as the best keeper in the world, and recently helped Inter Milan to Champions League success, but this change in ball has him fearing for keepers positioning as the ball is so unpredictable.

He added: "The danger for goalkeepers is when they come off their line. They need to stay in a
adidas-fifa-jabulani-ball-1-150x150.jpg

safe place otherwise the ball will drop behind them and in to the goal".

It seems every time there's a change in the game, it is a change which hinders keeper's, and this seems to be another change hindering keepers.

The new Jabulani ball which means "to Celebrate" in Zulu language is said to be the roundest ball ever, but with complaints from both England and Brazil camps I can't see it been around for long, pardon the pun. Should this ball change be allowed or should they keep with the balls that the players having been using all season, one things for sure Cesar's complaint won't be the
 
Tehe teh........Nadhani tatizo ni mpira(Jabulani)...Makipa wameulalamikia sana..........unateleza na pia unawapoteza maboya.............nyways,ni goli....tugange yajayo

mbona kwenye mikono ya Howard hautelezi? Tumeona makipa wa South Korea, 9ja nk wamekamata vizuri hata cross mbaya. Green anamatatizo yake. Kabla ya mechi wachezaji walimwambia Capello wanamtaka James, lakini Capello akasisitiza chaguo lake. haya sasa!
 
ngoja waanze kulaumu "vuvuzela"..[/QUOTE]

lazima watachonga sana,tena wanabahati waafrika wengi wale "washangiliaji haswa"hawana uwezo wa kununua tiketi,maana ngoma za mwafrika zingevuma umo adi wachanganyikiwe...
 
Here we go Mkuu

Brazil Keeper Rubbishes New Jabulani Ball

May 29, 2010
By Anto11

Brazil-keeper-Julio-Cesar-at-full-stretch-300x175.jpg

Hot off the complaints of England player's over the unpredictability of the new World Cup ball, Brazil keeper Julio Cesar has likened it to a cheap supermarket ball.

"It's terrible, horrible. It's like one of those balls you buy in the supermarket", he said.

Brazil keeper Julio Cesar is widely renowned as the best keeper in the world, and recently helped Inter Milan to Champions League success, but this change in ball has him fearing for keepers positioning as the ball is so unpredictable.

He added: "The danger for goalkeepers is when they come off their line. They need to stay in a
adidas-fifa-jabulani-ball-1-150x150.jpg

safe place otherwise the ball will drop behind them and in to the goal".

It seems every time there's a change in the game, it is a change which hinders keeper's, and this seems to be another change hindering keepers.

The new Jabulani ball which means "to Celebrate" in Zulu language is said to be the roundest ball ever, but with complaints from both England and Brazil camps I can't see it been around for long, pardon the pun. Should this ball change be allowed or should they keep with the balls that the players having been using all season, one things for sure Cesar's complaint won't be the

Hata Kipa wa Taifa Stars Muharami Mohammed kailalamikia Jabulani........hahaaaaaaaaaaaa

Stars goalie blames ‘Jabulani' following Brazil defeat

By DAILY NEWS Reporter, 8th June 2010

TAIFA Stars goalkeeper Muharami Mohammed has joined other shot stoppers around the world to criticise the World Cup ball ‘Jabulani', saying it contributed for Stars 1-5 defeat by Brazil yesterday.

Mohammed, who plies his trade with Mozambique champions Ferroviario de Maputo was between the posts and conceded all five goals as double strikes from Robinho and Ramires and one from Kaka helped Brazil easily beat their host at the half filled National Stadium.

And, Mohammed has since been the subject of criticisms as most soccer fans said he was not at his best because he conceded what they deemed to be ‘easy' goals.

However, the former Simba goalie was quick to defend himself, saying he regrets to concede many goals but said ‘Jabulani' was partly to blame because of what he described as the ball's unpredictable swerving motion. He also said that the ball is slippery and does not allow smooth grip.

"It will definitely be difficult for a layman to understand this, but take it from me that this kind of ball (Jabulani) will lead to new goals scoring record in the South Africa's World Cup. It will disgrace goalkeepers," he said.

Mohammed also said Stars players somewhat lost steam in the second half because they were exhausted for playing two matches in 24 hours. Stars played Rwanda away in Kigali on Sunday in the crucial African Nations Championship (CHAN) qualifier tie. They lost 1-0.

Meanwhile, Nigeria goalkeeper Vincent Enyeama has added his voice to the Jabulani controversy, warning that the World Cup ball will disgrace goalkeepers in South Africa.

Enyeama was the first to speak out about the ball during the African Nations Cup in Angola, but his words failed to gain traction. Recently, some of the world's top goalkeepers have come out to add their voices and Enyeama says it is too late.

"When I spoke about it during the Nations Cup, some people said I was just making excuses.

"Now, other goalkeepers have joined in and it has now become an issue. But it is too late to do anything about it. The only thing is that some of us might be disgraced by that ball at the World Cup."
 
mbona kwenye mikono ya Howard hautelezi? Tumeona makipa wa South Korea, 9ja nk wamekamata vizuri hata cross mbaya. Green anamatatizo yake. Kabla ya mechi wachezaji walimwambia Capello wanamtaka James, lakini Capello akasisitiza chaguo lake. haya sasa!

Ndo hapo sasa.....
 
Nyie washabiki wa England mwaka huu lazima mpate pressure, hii timu mzozo mtupu lol.
 
hahahaaaaa, mpira umetoka china huo!!! thanks to chinese, tuna jerseys zote za mashindano, viatu, soksi nk.

gemu tamu ila nimeshangaa jinsi heskey alivyofit into englands squad, and i really miss walcot na bent, sioni kwanini hawapo
 
Back
Top Bottom