Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 643
Duh! UK wana gunia golini! mpira upigwe Vingunguti hadi Mwananyamala na kufunga goli duh! Wataanza kujaribu mashoot ya mbali kuanzia sasa.
UK tena hehehhe.....Beckham kanuna utadhani kaachwa na mkewe.