World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Msaada tafadhali ... leo siko nyumbani naomba mwenye link anisaidie ili nami nijinome japo kwa kuiba.
 
Uruguay v Ghana: World Cup 2010 quarter-final match - in pictures


Uruguay v Ghana: World Cup 2010 quarter-final match - in pictures










Setting the scene: Soccer City in Johannesburg, setting for the second quarter-final, between Uruguay and Ghana, looked impressive by nightfall



Pride of Africa: Ghana will be flying the flag for Africa, after being the only side from the continent to survive the group stages...
 
Ndiyo tunaona umuhimu wa timu kuwa pamoja kwa muda mrefu

:horn::horn::horn::horn::horn::horn:
 
kuna goli nyengine kama mbili hivi, hatuwatoi chini ya tatu hawa. na wale orange bora wasije uwanjani nusu fainali, heheheeh
 
Ndiyo tunaona umuhimu wa timu kuwa pamoja kwa muda mrefu

:horn::horn::horn::horn::horn::horn:

Mzee asavali hakupatikana mtu wa ku-bet, maana ningekuwa njia moja ku-surrender 100 bucks..lol

Sikutegemea Uruguay kucheza level ya chini kiasi hiki.
 
..........Kutangulia si kufika kama ilivyokuwa kwa Brazil, lakini Ghana leo nawaombea mfikeeeeeeeeeeeeeee salama muone nusu finali.😛ray:
 
Ghana is demonstrating the spirit of "socialism" the way they distribute the ball in the park......:smash:
 
wewe utakua umeacha kuangalia dakika ya 30.umekosa kinoma yani hilo goli ni kama mtu kamaliza kupika cake ndio ameweka "icing".uruguay kapigiwa mpira kama mtoto mdogo.

Asalaleeh..basi 2nd half nitaangalia kipindi chote mana cha kwanza nilizima tv kwenye dk ya 25 hv..Haya haya,niandae na viwalo vya mtoko mana leo hakulaliki itakuwa..Washinde Ghana,lol!!
 
Jamaa kashika handball kwenye hio freekicki...refa kamwacha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…