Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
hee..kumbe goal limeingia..niliacha kuangalia game
Wewe utakuwa umeacha kuangalia dakika ya 30. Umekosa kinoma yaani hilo goli ni kama mtu kamaliza kupika cake ndio ameweka "icing". Uruguay kapigiwa mpira kama mtoto mdogo.