Inawezekana kuna ukweli kuhusu utabiri huu. Ukiangalia video ya Sheikh Yahya Hussein kuhusu nani mshindi inaangukia kwa Spain pia. hebu cheki hii video hapa chini halafu tutumie mfano huu kwa spain na Germany. Utaone Spain inashinda.
YouTube - Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 15-3-2010 - Utabiri wa mpira
Ki-a alphabet ( yaani, A=1, B=2, C=3, ......Z=26) na tarehe ya mchezo ni 7 utaona hivi
S = 19
P = 7
A = 1
I
N
versas
G = 7
E = 5
R = 18
M
A
N
Y
Yeye anasema unachukua herufi za kwenye nafasi sawa huku na huku,(yaani kama ni ya kwanza huku na kule pia, ikigoma unaenda inayofuata kwa kujumlisha na ya awali) mpaka upate moja
tasa(odd number) na nyingine
shufwa (even number). halafu unazijumlisha na tarehe ya mchezo, ile inayokuwa inagawanyika kwa mbili ndiyo mshindi wa mechi.
Mtiririko uko hivi
...........................S ....P ....A ....I
....N .
.............G ....E.... R....M
..A
.N
.Y
..........................19................................ ........7...................................Zote hazigawanyiki
add next:
............... +
7........................ = 26........ + 5.................... = 12 Zote zinagawanyika
add next:
...................+
......1.................=.27..............+..18............= 30 Moja inagawanyika
sasa ukiangalia kwa nchi mbili hizi herufi ya tatu ndiyo moja odd na ingine ni shufwa. Kwa kuwa
"Spain" , ina 27 na
Germany ina 30. ukiziongeza na
7 tarehe ya mchezo unapata
34 for Spain na
37 for Germany. Hivyo
34 inagawika kwa mbili na kuwa kuonesha
Spain ni mshindi
Hahahahahaha, nimemaliza. Kesho inajirudia Euro 2008 kwikwikwikwi!!!!!