Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
its game on and my cards are for wadachi... Nimeshawachukia sana uruguay na hasa yule suarez, alimsababishia red card kipa wa sauzi na juzi akawa golikipa wa ziada
may justice be served today!!
to me the 2010 WC FINAL IS TOMORROW..........
to me the 2010 WC FINAL IS TOMORROW..........
Kesho nani underdogs,teh teh!!...just asking!!!
ab-Titchaz weka mapicha ya hili gem
holland hawajapoteza mechi hata moja mpaka wamefika fainali simchezo.
washafika mwisho wa safari yao hao.................
Inawezekana kuna ukweli kuhusu utabiri huu. Ukiangalia video ya Sheikh Yahya Hussein kuhusu nani mshindi inaangukia kwa Spain pia. hebu cheki hii video hapa chini halafu tutumie mfano huu kwa spain na Germany. Utaone Spain inashinda.
YouTube - Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 15-3-2010 - Utabiri wa mpira
Ki-a alphabet ( yaani, A=1, B=2, C=3, ......Z=26) na tarehe ya mchezo ni 7 utaona hivi
S = 19
P = 7
A = 1
I
N
versas
G = 7
E = 5
R = 18
M
A
N
Y
Yeye anasema unachukua herufi za kwenye nafasi sawa huku na huku,(yaani kama ni ya kwanza huku na kule pia, ikigoma unaenda inayofuata kwa kujumlisha na ya awali) mpaka upate moja tasa(odd number) na nyingine shufwa (even number). halafu unazijumlisha na tarehe ya mchezo, ile inayokuwa inagawanyika kwa mbili ndiyo mshindi wa mechi.
Mtiririko uko hivi
...........................S ....P ....A ....I ....N ..............G ....E.... R....M..A.N.Y
..........................19................................ ........7...................................Zote hazigawanyiki
add next:............... + 7........................ = 26........ + 5.................... = 12 Zote zinagawanyika
add next:...................+......1.................=.27..............+..18............= 30 Moja inagawanyika
sasa ukiangalia kwa nchi mbili hizi herufi ya tatu ndiyo moja odd na ingine ni shufwa. Kwa kuwa "Spain" , ina 27 na Germany ina 30. ukiziongeza na 7 tarehe ya mchezo unapata 34 for Spain na 37 for Germany. Hivyo 34 inagawika kwa mbili na kuwa kuonesha Spain ni mshindi
Hahahahahaha, nimemaliza. Kesho inajirudia Euro 2008 kwikwikwikwi!!!!!