World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

weraaaaaaaaaaaaa weraaaaaaaaaaaa......teh teh teh.....roho kwatuuuu....ha ha ha
 
its game on and my cards are for wadachi... Nimeshawachukia sana uruguay na hasa yule suarez, alimsababishia red card kipa wa sauzi na juzi akawa golikipa wa ziada

may justice be served today!!

done.............
 
to me the 2010 WC FINAL IS TOMORROW..........

no way mkuu mshindi wa kesho ndio mshindi wa haya mashindano.Holland wana nafasi bado ,Ujerumani wamekutana sana na beki mbovu na naomba mungu Spain wawe wamejiandaa jinsi ya kuwakaba,argentina beki mbovu,england beki mbovu,australia beki mbovu,ghana tu waliwasumbua kidogo kutokana wamekamilika.

nitafurahi fainali hiwe Spain vs Holland hili tu enjoy mpira zaidi.
 
Jamani uholanzi ni mavuvuzela kwa kwenda mbele wakubwa maana wenzetu ni uzalendo kwa kwenda mbele-uruguay hawana mpria wa kucheza, I believe ghana is the best compared to uruguay. Huku chereko chereko utadhani wanamtoa mwali vile!! Ahahahaa
 
Asanteee HOLLAND kwa kuwatandika hawa magolikipa manake timu nzima inajua kudaka tu na magoli ya kubahatisha. Afadhali wanasawazisha hasira zangu za Ghana...naweza kulala vizuri,hope A.Gyan nae atakuwa kakenua kidogo leo!!
 
Uruguay-v-Holland-Uruguay-fan-Suarez-sign_2474651.jpg
 
Inawezekana kuna ukweli kuhusu utabiri huu. Ukiangalia video ya Sheikh Yahya Hussein kuhusu nani mshindi inaangukia kwa Spain pia. hebu cheki hii video hapa chini halafu tutumie mfano huu kwa spain na Germany. Utaone Spain inashinda.

YouTube - Kipindi cha Nyota Zenu cha Tarehe 15-3-2010 - Utabiri wa mpira

Ki-a alphabet ( yaani, A=1, B=2, C=3, ......Z=26) na tarehe ya mchezo ni 7 utaona hivi

S = 19
P = 7
A = 1
I
N

versas

G = 7
E = 5
R = 18
M
A
N
Y

Yeye anasema unachukua herufi za kwenye nafasi sawa huku na huku,(yaani kama ni ya kwanza huku na kule pia, ikigoma unaenda inayofuata kwa kujumlisha na ya awali) mpaka upate moja tasa(odd number) na nyingine shufwa (even number). halafu unazijumlisha na tarehe ya mchezo, ile inayokuwa inagawanyika kwa mbili ndiyo mshindi wa mechi.

Mtiririko uko hivi

...........................S ....P ....A ....I ....N ..............G ....E.... R....M..A.N.Y
..........................19................................ ........7...................................Zote hazigawanyiki

add next:............... + 7........................ = 26........ + 5.................... = 12 Zote zinagawanyika

add next:...................+......1.................=.27..............+..18............= 30 Moja inagawanyika

sasa ukiangalia kwa nchi mbili hizi herufi ya tatu ndiyo moja odd na ingine ni shufwa. Kwa kuwa "Spain" , ina 27 na Germany ina 30. ukiziongeza na 7 tarehe ya mchezo unapata 34 for Spain na 37 for Germany. Hivyo 34 inagawika kwa mbili na kuwa kuonesha Spain ni mshindi

Hahahahahaha, nimemaliza. Kesho inajirudia Euro 2008 kwikwikwikwi!!!!!

Huu utabiri wa tarehe na majina huu sina imani nao. Sidhani kama kuna uhusiano wowote kati ya utaalamu wa uwanjani na miujiza ya tarehe. Haya mambo ya akina sheik yahya ya kutabiri baada ya mechi kuisha sijui kama yatafanya kazi. Tusubiri kesho. Si ajabu Netherlands ndiyo ikachukua kombe la dunia. Kwanza tangu ianze haijapoteza mchezo hata mmoja. Kwa hiyo record yake inaweza kuelezea mwisho wake utakuwaje.
 
Back
Top Bottom