World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Spain 70% - German 30% BP...siamini...:A S tongue:
 
Wanasema Anachinjiwa bahari...Spain wanacheza kandanda safi
 
Leo counter attack zinafail tu vijana waspain wanakwenda sambasamba na pace ya wajerumani
 
uuum German wanakaba 7 7...hehehe😛ound:
 
Leo counter attack zinafail tu vijana waspain wanakwenda sambasamba na pace ya wajerumani
subiri wataotewa tu! ndani ya dkk 15 Germans watalianzisha tu magoli yao aaah ma 4 tu swafiii...
 
Huu mpira wa leo hautabiriki japo nitafurahi sana kuwaona wabaguzi zaidi (Spain) wakitolewa.
 
Wajerumani naona ndiyo wana rely on counter attack,bado wana wasiwasi,Waspanyola wameanza kwa confidence,nadhani wali shinda euro cup kwa kuwabanjua wajarumani kama sijakosea.
 
Ila jamani huu ukuta wa wajerumani nadhani ndo kama ule wa Berlin, kupita ni numu!
 
subiri wataotewa tu! ndani ya dkk 15 Germans watalianzisha tu magoli yao aaah ma 4 tu swafiii...

I have no doubt Spain wanakwenda Final..kiungo ya spain nzuri sanaa kuna magoli mawiili kabla ya HT
 
Spain nadhani wataanza na counter attack lakini wajarumani wao ni mbele kwa mbele....Natarajia gemu safi sana.
naona wamekushtukia, maana spain wanashambulia na german wanacheza counter attack

mie leo roho kwatu!!! timu yoyote ile poa tu, mapenzi yataongezeka with time
 
Comon Spain wame dozi jamaa haowalikutana na beki mbovu ya uingerezaaustralia na argentina wakatesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…