World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

I said mipira ya juu noma kwa mabeki wa Ujerumani...Na vile wamento yule Boateng ambaye alicover vizuri tu mipira ya juu.

Mkuu hili ni kosa kubwa sana Kocha kalifanya. Huyu jamaa alikuwa noma kwa mipira ya juu na nina uhakika kama angekuwepo Puyol asingefunga!. Lakini pamoja na yote Pweza aliisha predict kuwa Germany leo wanafungwa so ilikuwa ni suala la muda tu.
 
he he he , hakikisha unabeba tishu za kutosha jumapili (kwa ajili ya kilio au kijasho cha presha), huo mtiririko nilioweka hata pweza anakubaliana nao. hako ka nchi ka red kamenikata stimu kweli aisee.

Unacheza wewe,hao Uruguay nazuga tu yani napenda wamaliziwe hasira na German..ha ha 4-0 itapendeza wakifungwa!!..nazuga tu,wala sina stimu nao Uru!!

Dutch for World Cup Zuid Afrika 2010!..Period!!
 
Jumapili lisaa kabla ya mechi nitajua nina-side timu gani!!..jamani tena hili kombe linaenda EU sasa hii WC imegeuka EuroCup part II..teh teh

ha ha ha sawa sawa una mda mrefu wa kutumia nguvu zako za sheikh yahaya kupata jibu kamili.kila la kheri.
 
That's my team!

Spain for the cup....!
Football = beautiful game
Today's results = justice to football
Another win for the beautiful Spain on Sunday (final) = more justice to football.
 
ha ha ha sawa sawa una mda mrefu wa kutumia nguvu zako za sheikh yahaya kupata jibu kamili.kila la kheri.

Asante,tutahabirishana then!!..Acha niwe sheikh kwa muda!!..Tuone itakuwaje j2!!

Honestly, I will miss WOZA games..imekuwa raha hapa JF kushare soccer trends, ideas, stress, panics, surprises etc...
 
Pole sana....
 
Wajerumani watamteka na kumla yule octopus wao, vinginevyoawekewe ulinzi mathubuti.
 
Unacheza wewe,hao Uruguay nazuga tu yani napenda wamaliziwe hasira na German..ha ha 4-0 itapendeza wakifungwa!!..nazuga tu,wala sina stimu nao Uru!!

Dutch for World Cup Zuid Afrika 2010!..Period!!

he he he hapo red hapo! tuonane jumapili, na natafuta tiketi la wizi la kwenda sauzi, nikamshuhudie mzee VILLA analivyolipigilia misumari jeneza la wadachi
 
Sneijder anaichukulia mechi hii ya fainali kama anacheza na Barcelona tu lol.
hehehe huyu sneider unaemzungumza wewe usisahau alikuwa na miguu ya morinyo. Acha akafundishwe "kutawanya" na mzee Iniesta jumapili.
 
he he he hapo red hapo! tuonane jumapili, na natafuta tiketi la wizi la kwenda sauzi, nikamshuhudie mzee VILLA analivyolipigilia misumari jeneza la wadachi

Raha ya J2 ni kwamba utabiri ni rahisi kwani kati ya timu mbili TU ndo zinaweza chukua WC..Vinginenevyo bado sijaamua kabisa nipo upande gani sema kama ni mzani basi wa kidachi umezidi kilo..ha ha!!..
Ila mechi ya leo macho yameniuma kuangalia Jabulani linavyopasiwa..mana unaenda huku mara kule,chenga kibao..he he!! Wasteful Pedro, kaniboa kweli!!
Wajerumani dawa yao Spain,nimeshajua..haya kwaheri..naenda kupumzika,ha ha!!
 
jumapili pedro anakula ubao, mzee torres anaanza . kinachofata ni adhabu. he he he sweet dreams.
 
kusupport mambo kama haya ya octopussy au ya magic namba ni sawa na kuwa mfuasi wa sheikh yahya huseni

the best team will win this world cup and so far its the Netherlands
 
Ujerumani imepoteza nafasi baada ya kutolewa na Spain.
Pweza mwenye uwezo wa kutabiri, ambaye alikuwa akitabiri kwa hakika asilimia mia moja, je ataendelea na kazi yake au ndio naye kibarua chake kisha ingia nyasi?
Sasa tutaona mechi nzuri ya vijana ambao wote wanalilia kutwaa kombe kwa mara ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…