I said mipira ya juu noma kwa mabeki wa Ujerumani...Na vile wamento yule Boateng ambaye alicover vizuri tu mipira ya juu.
Mkuu hili ni kosa kubwa sana Kocha kalifanya. Huyu jamaa alikuwa noma kwa mipira ya juu na nina uhakika kama angekuwepo Puyol asingefunga!. Lakini pamoja na yote Pweza aliisha predict kuwa Germany leo wanafungwa so ilikuwa ni suala la muda tu.