World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)



senks for your explanations!
 
Ha ha ha kama namuona shekhe yahaya hussein na mipweza ya kumwaga
 
2010-07-06Uruguay2 - 3Holland W
2010-07-02Holland2 - 1Brazil W
2010-06-28Holland2 - 1Slovakia W
2010-06-24Cameroon1 - 2Holland W
2010-06-19Holland1 - 0Japan W
2010-06-14Holland2 - 0Denmark W

Wazo langu: Holland wanaweza kushinda WC 2010
 
Huyo pweza yupo tofauti na pweza wengine? naomba kueleweshwa tafadhali. Au ni jini?
 
Siri ya Mafanikio ya Spain na hata kufikia ubingwa wa dunia ni kuwa na viungo Mahili - hakuna atakayebisha combination na Iniesta na Xavi ndiyo key ya mafanikio katika kiungo sababu hawa jamaa wamezoeana sana toka Barcelona - sasa ukiunganisha na Allonso basi tena habari inachafuka.

Ni advantage kubwa sana kuwa na viuongo wanaoelewana - Spain wanatawala Kiungo sana na ukiwaruhusu tu wafanye hivyo basi umekwisha.


Mipira mingi anayondondoshewa Villa na wezake inapikwa katikati na hawa ma super staa wa barca na Madrid - Tukubali wakuu tukatae hii season ni ya Spain. Nafikiri mtashuhudia goli ya kwanza la ElninO siku ya Fainali kukata utepe.

Sifa tuwape hata kama hatutaki - choice yangu haikuwa Germany - by the way walizidiwa kiungo mwanzo mwisho.
 
spain inatisha jamani,mlikuwa mnaiangalia kwa juujuu,sijui oh ujerumani kapiga argentina na england 4,spain haina beki,spain inacheza mpira wote kwa sasa burudani na hata la kibabe,viva spain,spain noma(sio kiswahili hicho ni kihispaniola)mana yake spain kiboko au spain top.
 
Pweza Aliyetabiri kufungwa German na Spain huyu hapo chini Tunangojea mechi ya Fainali kati ya holland na Spain?
 

Attachments

  • pwezahuyundiealotutabiriaushindijumapili.jpg
    5.3 KB · Views: 20
AN England team WILL decide the World Cup after all — with Howard Webb in charge of the final.

Fabio Capello's squad bombed out in the last 16 but whistler Webb has been far more impressive.
The 38-year-old has had a near-flawless tournament and his reward is the clash between Spain and Holland.
Webb's assistants Darren Cann and Michael Mullarkey will run the lines in Johannesburg on Sunday



Haya wapenzi wa soka tumeshamjua refa wetu wa fainali hio jumapili,nini maoni yenu.
Najua wengi washapata bad experience na Mr Webb kwenye EPL lakini kwa jinsi alivyoperform worl cup hii anadeserve kupewa final.
 

Kawaida ya huyu Pweza huwa hapatii mechi ya mwisho ya Fainali, unakumbuka Euro 2008, alisema Germany will win wakala kichapo. So kwa style ile ile ni kwamba kama unataka kuweka pesa kwenye fainali nakusihi weka Spain aka Barcelona kama wanavyoiita wengi kutokana na kuwa na wachezaji wengi wa timu hiyo.

This time Pweza ni lazima amekosea na hiyo ndiyo style yake kama hujui. wachezesha kamali huwa wanamlipa apotoshe wengi shauri yako.
 


Pape hapo juu,mbona hujauliza ''America/USA/Marekani !!!!!!!!
 
His record is very impressive. I hope he will be able to maintain order and officiate to the best of his ability. Good luck.

British ref Webb assigned World Cup final

Last Updated: Thursday, July 8, 2010 | 1:31 PM ET

The Associated Press



Howard Webb has words for Chile's Alexis Sanchez during a June 28 match. (Andre Penner/Associated Press) (Andre Penner/Associated Press)
Howard Webb of England will referee the World Cup final, FIFA announced on Thursday.
The 38-year-old former police officer was chosen to take charge when the Netherlands and Spain meet at Johannesburg's Soccer City on Sunday.
Webb has refereed three World Cup matches and has neither shown a red card nor awarded a penalty kick.
He handled Spain's 1-0 loss to Switzerland, then won praise for controlling a dramatic end to Slovakia's 3-2 win that eliminated defending champion Italy. He also refereed Brazil's 3-0 second-round victory against Chile.
Webb and assistants Darren Cann and Mike Mullarkey will complete a prestigious end-of-season double after officiating the Champions League final in May, when Inter Milan beat Bayern Munich in Madrid.
 
Halina ubishi hilo, Abdulhalim.
 
waingereza wanajisifia utasema timu yao ndo iloingia fainani!
 

naamini atachezesha vizuri kama wachezaji watampa ushirikiano maanake WASPANIOLA wakianza ku-dive hovyo watampa wakati mgumu,na holland wana robben mtaalam wa diving plus dirty player mark van bommel....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…