Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Huyu pweza mi namtamani tu ananitoa udende kweli
Asije kutabiri kifo ndugu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu pweza mi namtamani tu ananitoa udende kweli
inaelekea huyo Pweza ni mtabiri maarufu kama yule Sheikh flani wa hapa Bongo??
Huyo sheikh unayemsema ni mbabaishaji tu! Hana lolote.
Nakumbuka kuna mechi moja decider ya title vs Spurs na Man U, dk kadha zilikuwa zimekatika, Spurs wapo mbele 2-0, Webb akahangaika mpaka penati ikapatikana baada ya hapo najua unajua kilichofuata..Hiyo ilikuwa 2008/2009 kama sikosei.ongeeni mkiwa na data,mmesahau kuwa huyu refa alikuwa anampa sana ronaldo na vidic kadi nyekundu mechi ya man utd vs liverpool?tafuteni mkanda wa man utd vs liverpool mechi zote 2 za epl msimu wa 2008-2009 muone mechi zote mbili vidi kala nyekundu,na msimu uliopita mascherano na ronaldo,vilevile adebayor kapewa zaidi ya mara 2 kadi nyekundu na huyu refa.
hehehe huogopi paul ze octopus wewe?yah...leo sii kihivyo sana but at least niwapendelee wajerumani...watashinda
hivi lile pweza halikutabiri hili gemu la mruguay? , huyu mruguay acha apigwe mkono tu. hana maana pesa robo!
hivi lile pweza halikutabiri hili gemu la mruguay? , huyu mruguay acha apigwe mkono tu. hana maana pesa robo!
mkuu bado una usongo nao mpaka kwenye atua hii wewe kiboko lol.ina umuhimu....naombea URUGUAY afungwe tena.....
...wacha matokea yabaki kuwa yale yale...spain 2-0 netherlands
usiwe na wasi wasi mkuu lile pweza kesho lina aibika,limeenda kutabiri spainalafu kajifanya kama yuko 100% percent sure wala hakufiria kaenda moja kwa moja kukumbatia Spain.
Kesho anakosa kibarua cha utabiri kitu kinaenda Amsterdam lol.