World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

ongeeni mkiwa na data,mmesahau kuwa huyu refa alikuwa anampa sana ronaldo na vidic kadi nyekundu mechi ya man utd vs liverpool?tafuteni mkanda wa man utd vs liverpool mechi zote 2 za epl msimu wa 2008-2009 muone mechi zote mbili vidi kala nyekundu,na msimu uliopita mascherano na ronaldo,vilevile adebayor kapewa zaidi ya mara 2 kadi nyekundu na huyu refa.
Nakumbuka kuna mechi moja decider ya title vs Spurs na Man U, dk kadha zilikuwa zimekatika, Spurs wapo mbele 2-0, Webb akahangaika mpaka penati ikapatikana baada ya hapo najua unajua kilichofuata..Hiyo ilikuwa 2008/2009 kama sikosei.

Kadhia nyingine wadau wataongezea...hata youtube ikibidi tutakueekeeni.
 
_48303112_48303113.jpg
 
Najua hii mechi sio muhimu wakuu sema kama wako wadau wanaotaka kuchangamsha macho kwa kujiandaa na mtanange wa kesho basi mnaweza kujiunga jukwanai hapa.
 
hivi lile pweza halikutabiri hili gemu la mruguay? , huyu mruguay acha apigwe mkono tu. hana maana pesa robo!
 
yah...leo sii kihivyo sana but at least niwapendelee wajerumani...watashinda
 
hivi lile pweza halikutabiri hili gemu la mruguay? , huyu mruguay acha apigwe mkono tu. hana maana pesa robo!

usiwe na wasi wasi mkuu lile pweza kesho lina aibika,limeenda kutabiri spainalafu kajifanya kama yuko 100% percent sure wala hakufiria kaenda moja kwa moja kukumbatia Spain.

Kesho anakosa kibarua cha utabiri kitu kinaenda Amsterdam lol.
 
hivi lile pweza halikutabiri hili gemu la mruguay? , huyu mruguay acha apigwe mkono tu. hana maana pesa robo!

lile dudu lingeambiwa litabiri na hii lingekomfyuzi...wacha matokea yabaki kuwa yale yale...spain 2-0 netherlands
 
Huyu m-jinga Suarez si Fifa walisema watamuongezea adhabu hili hasicheze mechi hii au ndio kama kawaida yao wamemsamehe?
 
usiwe na wasi wasi mkuu lile pweza kesho lina aibika,limeenda kutabiri spainalafu kajifanya kama yuko 100% percent sure wala hakufiria kaenda moja kwa moja kukumbatia Spain.

Kesho anakosa kibarua cha utabiri kitu kinaenda Amsterdam lol.

una maana kesho litafanywa supu?....aah wapi hakuna kitu
 
Back
Top Bottom