mkuu bado una usongo nao mpaka kwenye atua hii wewe kiboko lol.
mie nilishawasemee hapa nashangilia magoli tu leo na vipaji binafsi.
mkuu una masaa chini ya 24 kubadili msimamo wa ushabiki. nakuhakikishia kesho mdachi anarambwa si chini ya 3. kama utabaki upande wa mdachi ningekushauri uweke ka chupa ka panadol pembeni . kesho ni fulu maumivuusiwe na wasi wasi mkuu lile pweza kesho lina aibika,limeenda kutabiri spainalafu kajifanya kama yuko 100% percent sure wala hakufiria kaenda moja kwa moja kukumbatia Spain.
Kesho anakosa kibarua cha utabiri kitu kinaenda Amsterdam lol.
Huyu m-jinga Suarez si Fifa walisema watamuongezea adhabu hili hasicheze mechi hii au ndio kama kawaida yao wamemsamehe?
hehehe lile pweza limekuwa maarufu kuliko rais KIKWETE. hii dunia bana!lile dudu lingeambiwa litabiri na hii lingekomfyuzi...wacha matokea yabaki kuwa yale yale...spain 2-0 netherlands
una maana kesho litafanywa supu?....aah wapi hakuna kitu
mkuu una masaa chini ya 24 kubadili msimamo wa ushabiki. nakuhakikishia kesho mdachi anarambwa si chini ya 3. kama utabaki upande wa mdachi ningekushauri uweke ka chupa ka panadol pembeni . kesho ni fulu maumivu
mkuu sibadirishi timu najiamini kushinda Octopus lenu lool.
mkuu sibadirishi timu najiamini kushinda Octopus lenu lool.