Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
ha ha ha kwanini mkuu? Balantanda hawezi kumtosa Vna persie kesho lol,tena na jinsi Fabregas alivyoonesha nia ya kwenda barcelona ndio kabisaa lol.kesho sichagui timu mpaka BALANTANDA achague timu yake.......
kesho sichagui timu mpaka BALANTANDA achague timu yake.......
huyu SUAREZ kweli hana razi za GHANA. naona anachemsha tu!
ha ha ha kwanini mkuu? Balantanda hawezi kumtosa Vna persie kesho lol,tena na jinsi Fabregas alivyoonesha nia ya kwenda barcelona ndio kabisaa lol.
hivi kwanza huyu muungwana yupo wapi siku hizi?....nimemkosa sana
mkuu si umeiona SUAREZ tena! nazani hizi buuuuuuuuuuu pia zinamzengua.katoa assist anatafuta goli tu la kujipa moyo.
Forlaaaaan huyu jamaa nae yuko onfire.
duh ishakuwa tabu sasa....huu ushabiki maandazi noma...inaanza kula kwangu sasa....
heheheheeh 2-2
watu weweeeee......hii mechi inapendeza kama fainali