klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hehehe tuonane kesho mkuu. hakikisha laptopu unaijaza chaji. hatutaki excuses.haya wakuu mie nachomoka tutakutana kesho hapo city soccer mda kama huu wa hollad watakuwa wamejishika mikono kusubiri kushangilia ubingwa wao.
na octopus anapigwa mnada siku hio hio kwa kufanya utabiri mbovu kwenye mechi muhimu lol.
octopus paulo alisema mjerumani atashinda. YouTube - Octopus Paul - Uruguay vs. Germany.3gp
kwavile kesho tupo upande mmoja acha nikuage kwa kiingredha . bye thwiiti . mithh you tuu.ikiwa na maana kwamba spain ndio kama vile tena....mwee....viva octopus paulo
kwavile kesho tupo upande mmoja acha nikuage kwa kiingredha . bye thwiiti . mithh you tuu.
Hivi huyo Mnyakyusa wa Uruguay aliwezaje kuchezea huko?
yupi huyo mmj....?he he...umepotea siku hizi
hukumuona yule Mnyakyusa wa Uruguay.. nasikia baba yake ndiyo mnyakyusa..
ki ukweli sikumuona....anaitwa nani vile?