World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Huyu Thompson Gazzelle vipi tena? yani keshafanya kabumbu kuwa American Football? angefaa sana kuwa Wide Receiver! Lakini tuache uongo, I am impressed by Algeria wanavyotandaza boli!

u must be joking.....
 
Aljeria wanaweza kufanya wandaz ingawa wapo pungufu hivi. My God Slovenia wanapata goli. Du tusubiri labda watasawazisha!
 
Oh! God! team ya Africa ambayo wengi tuliitegemea kwamba ingefika mbali.
 
dah balaa lile..........kwanza hawa slovens waliingia kwa dharau sana dhidi ya Algeria sasa ndio watapata ari ya ajabu
 
u must be joking.....

In comparison to England game last night or Mexico , RSA, Algeria are very well coordinated na hata pasi zao ni za uhakika. Angalia butua butua na uncertainty iliyokuwepo jana kwenye game la US na England, angalia mechi ya kwanza, ilivyokuwa ngumu kwa RSA pamoja na draw.

Timu ya Algeria inaonekana kama ni timu iliyokaa kambini kwa muda na wanacheza kwa kuelewana. yes I am impressed hata kama wameshafungwa!
 
Lakini jamani tufanye serious follow up, angalia headers zote tangu WC ianze mwaka huu, mipiraa inapaa kiajabu ajabu! Hata Gazzelle vile vichwa vitatu au jana Onyeuchi vichwa vyape mpira ulikuwa unapea! There is something wrong with Jabulani, may be some Sangoma shyt! oopsz it is Sunday kunradhi!
 
In comparison to England game last night or Mexico , RSA, Algeria are very well coordinated na hata pasi zao ni za uhakika. Angalia butua butua na uncertainty iliyokuwepo jana kwenye game la US na England, angalia mechi ya kwanza, ilivyokuwa ngumu kwa RSA pamoja na draw.

Timu ya Algeria inaonekana kama ni timu iliyokaa kambini kwa muda na wanacheza kwa kuelewana. yes I am impressed hata kama wameshafungwa!

You are right Rev............kumbuka kuwa wanacheza na a very weak team.......they should have capitalized chances they got so far..............therefore wanawapa kusema watu wengine kuhusu uwezo wao
 
Binafsi hawapo hata kwenye mawazo yangu hawa.............Mimi nawateegemea zaidi Black Stars............Ghana

Bala usisahau kwamba hawa ni Mabingwa wa Afrika.
 
_48063618_pantsil_pa.jpg

Haya wakuu, Algeria wameboa kweli gemu ya kwanza. Mie nishasogea Pretoria mtanage wa Ghana vs Serbia.

Karibuni jamvini.
 
Back
Top Bottom