World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Huyu Webb naona kachemsha dakika za mwisho!!

Hapana amefanya vizuri muda wote, kama ni kuhusu yellow cards ilitakiwa iwe hivyo. tena uholanzi walitakiwa kupewa kadi nyingi zaidi including red cards kama mbili au tatu.
 
Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza washabiki wote, mliokuwa mnaishabikia Spain katika hii WC iliyomalizika rasmi leo kwa ushindi wa kishindo. Ni furaha sana wanajamii tulijumuika pamoja katika mchakato wote hadi kufikia fainali. Binafsi ningependa kuwashukuru wakaka wote kwa company mliyotupatia wadada wachache tuliokuwa tukishiriki katika mchakato huu...mlituonyesha upendo na hamkutukwaza...big up to you all....luv ya......:kiss: :kiss: :kiss: :kiss:
 
hapana amefanya vizuri muda wote, kama ni kuhusu yellow cards ilitakiwa iwe hivyo. Tena uholanzi walitakiwa kupewa kadi nyingi zaidi including red cards kama mbili au tatu.

game hii ilikuwa inataka strong referee na howard webb was strong.......otherwise game ingeharibika.
 

mi nashukuru umekubali tuangalie mpira pamoja badala ya kung'ang'ania uangalie tamthilia peke yako......
 
umesahau kumshukuru na pweza kwa niaba ya FIFA. kwakweli tulienjoy sana bana. sasa acha nipige ka suti kangu nielekee kuonana na mama shakira. ubarikiwe thwiitii preta
 
Ilikuwa final nzuri,Spain wame-deserve ushindi!..Dutch wamecheza rafu kweli,wangebaki 8 tu uwanjani kama siyo maamuzi ya refa!..I feel for Sneijder&Robben!!

I will miss WC mpaka 2014..
 

Ilikuwa raha kuangalia WC na kuchangamsha JF kwa matukio..Will miss this,what's next? mana Eurocup bado bado na WC nyingine mpaka 4 yiaz tu kuja!..
Gracias Preta..Gefeliciteerd Spain!!..Much love to Spain Kipa, yupo very emotional ha ha!!lol
 
I think huyu jamaa kafanya kazi ngumu leo!..Dutchmen were very aggressive!!
 
I think huyu jamaa kafanya kazi ngumu leo!..Dutchmen were very aggressive!!

You are right Belinda, Mechi fainali inatakiwa ioneshe kiwango cha juu sana, kwani ni best teams zinakutana. Ila strategy waliyoingia nayo Dutch ilikuwa ni worse na kama si Webb tungeshuhudia worse world cup final ever. Kuna straight red cards mbili za wazi kama hii mechi ingekuwa ni ya group basi angetoa. Ila alitaka watu wafurahie mpira japo Holland wametunyima hiyo fulsa kwa synical attacks zao. Nafikiri waliingia na mawazo labla ya kushindwa kutokana na utabiri wa PWEZA sijui!
 
World Cup 2010 final photos - Netherlands v Spain



For the Dutch it is a case of so near but so far as Webb blows the final whistle. 2010 is added to 1974 and 1978 in the list of World Cup final defeats for the men in Orange
 
World Cup 2010 final photos - Netherlands v Spain



The Barcelona midfielder slots past goalkeeper Maarten Stekelenburg and runs to the corner flag, sparking wild celebrations from Spanish supporters and players
 

Best referee was Italian Pierluigi Collina

 
Ilikuwa final nzuri,Spain wame-deserve ushindi!..Dutch wamecheza rafu kweli,wangebaki 8 tu uwanjani kama siyo maamuzi ya refa!..I feel for Sneijder&Robben!!

I will miss WC mpaka 2014..

EPL is just around the corner BJ, but EPL is not World Cup
 
Nami kwa niaba yangu binafsi nakupongeza sana kwa ujasiri ulio uonesha na uvumilivu wa kike ulio kuwa nao, bila kuonyesha jazba kwenye ushabiki wa mpira. Nakukaribisha tena mwaka 2014 Mwenyezi Mungu akituweka hai tuwe pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…