Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Haka kajamaa na kale kenzake ka-Xavi ni balaa. Duniani kwa sasa hakuna combo kama ile. With Villa joined them in Barca tuombe tu uzima kuona mambo yatakavyokuwa.hii haina mjadala kabisa mkuu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka kajamaa na kale kenzake ka-Xavi ni balaa. Duniani kwa sasa hakuna combo kama ile. With Villa joined them in Barca tuombe tu uzima kuona mambo yatakavyokuwa.hii haina mjadala kabisa mkuu,
Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza washabiki wote, mliokuwa mnaishabikia Spain katika hii WC iliyomalizika rasmi leo kwa ushindi wa kishindo. Ni furaha sana wanajamii tulijumuika pamoja katika mchakato wote hadi kufikia fainali. Binafsi ningependa kuwashukuru wakaka wote kwa company mliyotupatia wadada wachache tuliokuwa tukishiriki katika mchakato huu...mlituonyesha upendo na hamkutukwaza...big up to you all....luv ya......:kiss: :kiss: :kiss: :kiss:
mi nashukuru umekubali tuangalie mpira pamoja badala ya kung'ang'ania uangalie tamthilia peke yako......
Hivi ushindi wa kishindo kwenye football ni bao 1 - 0? Kwani hapa wanaongelea points? Kwanza je, kuna ushindi wa kishindo kwenye football?
napenda kuchukua nafasi hi niwashukuru wote wadada na wake zetu kwa kuweza kuvulmilia maneno ya msimu wa wakati huo wa WC hasa kuitwa Mavuvuzela wa nyumbani
umesahau kumshukuru na pweza kwa niaba ya FIFA. kwakweli tulienjoy sana bana. sasa acha nipige ka suti kangu nielekee kuonana na mama shakira. ubarikiwe thwiitii preta
Ilikuwa raha kuangalia WC na kuchangamsha JF kwa matukio..Will miss this,what's next? mana Eurocup bado bado na WC nyingine mpaka 4 yiaz tu kuja!..
Gracias Preta..Gefeliciteerd Spain!!..Much love to Spain Kipa, yupo very emotional ha ha!!lol
Nami kwa niaba yangu binafsi nakupongeza sana kwa ujasiri ulio uonesha na uvumilivu wa kike ulio kuwa nao, bila kuonyesha jazba kwenye ushabiki wa mpira. Nakukaribisha tena mwaka 2014 Mwenyezi Mungu akituweka hai tuwe pamoja.