World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Huyu jamaa alikua anataka kuleta kasheshe isioeleweka jamani....













 
Labda nianzishe Ubishi mpya.. Nilipokuwa Bongo,kila mtu alinambia Messi is the best player duniani na wakamlinganisha na watu kama Pele,Maradona na Zidanne - nikabisha sana na kusema kweli ni mchezaji bora lakini hana daraja hilo hata kidogo. Kwa uhakika mimi namweka Iniesta, Kaka, Xabi na Robbin kundi moja na Messi.

Tena ukiniuliza mchezaji bora duniani kati yao nitasema Xabi mbele ya Messi.
Je, bado wapo wanaoamini huyu Sunday Juma wa Baca ni mchezaji bora kiwango cha kina Pele?

Baada ya habari, Hakika finals hizi zimenipa picha kubwa sana ya wachezaji wengi ambao kusema kweli sikuwawekea maanani sana siku za nyuma kama Foulan, David Villa, Muller na hakika vijana wetu Gervinho, Gean, Annan na Prince.
 
World Cup 2010: Diego Forlan collects Golden Ball award





Uruguay striker Diego Forlan was named the winner of the Golden Ball as the best player of the World Cup.
The Atletico Madrid forward, 31, scored five goals and was a major influence as his team unexpectedly reached the semi-finals in South Africa.

German Thomas Mueller, who also scored five, was named by Fifa as the best young player of the tournament.

Mueller, 20, also won the Golden Boot for most goals - his three assists acting as a tie-breaker.

The German thus beat Forlan, Spain's David Villa and Wesley Sneijder of the Netherlands to the coveted prize.

Bayern Munich ace Mueller saw off Mexico's Giovani Dos Santos and Ghana's Andre Ayew for the young player prize.

Forlan finished top of a Fifa shortlist for his award following a vote by international media.

The former Manchester United player polled 23.4% of the vote, narrowly beating Dutch playmaker Sneijder - second with 21.8% - while Villa was third.

Meanwhile, Spain goalkeeper Iker Casillas - who twice denied Arjen Robben of the Netherlands with the score at 0-0 in the World Cup final - won the Golden Glove award for being the best keeper at the tournament.

BBC Sport - Football - World Cup 2010: Diego Forlan collects Golden Ball award
Casillas conceded only two goals in seven matches.
 
Kwa upande wa kipa sijaona distinction yeyote..Kipa wa Ghana angestahili iwapo wangetinga semis.
 
Muller was on fire!! Nimefurahi kuona angalau mchezaji mmoja wa Afrika ameweza kushindania tuzo muhimu Kama hizo
 
Ila si utani kwenye kupiga free kicks.. huyu "Fulani" kwa kweli ana technique yake fulani..
 

Hivi ushindi wa kishindo kwenye football ni bao 1 - 0? Kwani hapa wanaongelea points? Kwanza je, kuna ushindi wa kishindo kwenye football?
 
"Fulani" jabulani anaijulia bwana, utafikili ilitengenezwa kwa ajiri yake
 
napenda kuchukua nafasi hi niwashukuru wote wadada na wake zetu kwa kuweza kuvulmilia maneno ya msimu wa wakati huo wa WC hasa kuitwa Mavuvuzela wa nyumbani
 
napenda kuchukua nafasi hi niwashukuru wote wadada na wake zetu kwa kuweza kuvulmilia maneno ya msimu wa wakati huo wa WC hasa kuitwa Mavuvuzela wa nyumbani

tunashukuru japo ilitukwaza kwa aina moja au nyingine

 
umesahau kumshukuru na pweza kwa niaba ya FIFA. kwakweli tulienjoy sana bana. sasa acha nipige ka suti kangu nielekee kuonana na mama shakira. ubarikiwe thwiitii preta

nilikuachia fursa hiyo wewe umshukuru pweza paulo, nadhani ulilitekeleza hilo, nawe pia ubarikiwe sana ulinipa company ya kutosha hasa katika kuniliwaza pale North Korea walipotolewa...ulionyesha upendo wa ajabu.....:kiss:

 
Ilikuwa raha kuangalia WC na kuchangamsha JF kwa matukio..Will miss this,what's next? mana Eurocup bado bado na WC nyingine mpaka 4 yiaz tu kuja!..
Gracias Preta..Gefeliciteerd Spain!!..Much love to Spain Kipa, yupo very emotional ha ha!!lol

jana nilisikitika sikukuona but I hope ulishabikia ushindi kwa furaha

 
Nami kwa niaba yangu binafsi nakupongeza sana kwa ujasiri ulio uonesha na uvumilivu wa kike ulio kuwa nao, bila kuonyesha jazba kwenye ushabiki wa mpira. Nakukaribisha tena mwaka 2014 Mwenyezi Mungu akituweka hai tuwe pamoja.

asante sana japo siku Brasil walitolewa nilishindwa kuvumilia nikamtandika mtu ngumi...but all in all tumemaliza salama na ninategemea kukutana tena na wewe 2014 huko Brasil
 
Dah Pweza ni balaa!! Kweli WoZa ilituchangamsha!! Be bleassed Preta!
 
tatizo ni kwamba nitatokaje usiku kuanzia leo........!
i wish kama WOZA ingeunguruma hata miezi sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…