Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Huyu Thompson Gazzelle vipi tena? yani keshafanya kabumbu kuwa American Football? angefaa sana kuwa Wide Receiver! Lakini tuache uongo, I am impressed by Algeria wanavyotandaza boli!
Oh! God! team ya Africa ambayo wengi tuliitegemea kwamba ingefika mbali.
Binafsi hawapo hata kwenye mawazo yangu hawa.............Mimi nawateegemea zaidi Black Stars............GhanaOh! God! team ya Africa ambayo wengi tuliitegemea kwamba ingefika mbali.
u must be joking.....
In comparison to England game last night or Mexico , RSA, Algeria are very well coordinated na hata pasi zao ni za uhakika. Angalia butua butua na uncertainty iliyokuwepo jana kwenye game la US na England, angalia mechi ya kwanza, ilivyokuwa ngumu kwa RSA pamoja na draw.
Timu ya Algeria inaonekana kama ni timu iliyokaa kambini kwa muda na wanacheza kwa kuelewana. yes I am impressed hata kama wameshafungwa!
Mabingwa wa Afrika ni Egypt mkuu..................sio AlgeriaBala usisahau kwamba hawa ni Mabingwa wa Afrika.