FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
tatizo ni kwamba nitatokaje usiku kuanzia leo........!
i wish kama WOZA ingeunguruma hata miezi sita
Ila si utani kwenye kupiga free kicks.. huyu "Fulani" kwa kweli ana technique yake fulani..
Diego Forlan impressed me sana!..Kudoz to him,what a player!!.
I hope alikuwa shemeji... teh teh teh teh...!asante sana japo siku Brasil walitolewa nilishindwa kuvumilia nikamtandika mtu ngumi...but all in all tumemaliza salama na ninategemea kukutana tena na wewe 2014 huko Brasil
Labda nianzishe Ubishi mpya.. Nilipokuwa Bongo,kila mtu alinambia Messi is the best player duniani na wakamlinganisha na watu kama Pele,Maradona na Zidanne - nikabisha sana na kusema kweli ni mchezaji bora lakini hana daraja hilo hata kidogo. Kwa uhakika mimi namweka Iniesta, Kaka, Xabi na Robbin kundi moja na Messi.
Tena ukiniuliza mchezaji bora duniani kati yao nitasema Xabi mbele ya Messi.
Je, bado wapo wanaoamini huyu Sunday Juma wa Baca ni mchezaji bora kiwango cha kina Pele?
Baada ya habari, Hakika finals hizi zimenipa picha kubwa sana ya wachezaji wengi ambao kusema kweli sikuwawekea maanani sana siku za nyuma kama Foulan, David Villa, Muller na hakika vijana wetu Gervinho, Gean, Annan na Prince.
Yaani natamani kila siku tungekuwa na WC finals, pamoja na baadhi yetu timu zao vipenzi kupigwa bao mapema lakini tulifurahia sana mashindano haya. Naomba tujiandae 2014 badala ya kuiangalia kwenye TV tufanye mkakati ili tuwe ndani ya RIO ili tuweza kutoa ushuuda uliokamilika.Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza washabiki wote, mliokuwa mnaishabikia Spain katika hii WC iliyomalizika rasmi leo kwa ushindi wa kishindo. Ni furaha sana wanajamii tulijumuika pamoja katika mchakato wote hadi kufikia fainali. Binafsi ningependa kuwashukuru wakaka wote kwa company mliyotupatia wadada wachache tuliokuwa tukishiriki katika mchakato huu...mlituonyesha upendo na hamkutukwaza...big up to you all....luv ya......:kiss: :kiss: :kiss: :kiss: