Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Hii game ghana wanapaswa kushinda
Mpira umemalizika Ghana imeondoka na goli moja na ni ushindi mnono kwa timu za Afrika na watu wake ,habari kutoka kwa WaGhana wanasema kuwa kombe linachezwa nyumbani,hivyo wanasababu ya kushinda mechi zote.
......nafikri Kocha alikuwa na furaha pamoja na hasira kwani zilitakiwa kuwa goli mbili kama si tatu.........you are very sensitive Rev..........pure African attitude when it comes to dis kind of tings......lolWhy is Ghanaina coach dismissing his assistants from hugging him celebrating the victory?
Dede Ayew!!!!
Milos Krasic of Serbia is challenged by Andre Ayew of Ghana during the 2010 FIFA World Cup South Africa Group D match
Kevin Prince Boateng of Ghana (R) tackles Milan Jovanovic of Serbia