Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Ab-Titchaz............yule jamaa mwenye jezi namba 8 anaonekana kama ni Essien vile..................au macho ndio hivyo tena?
ndio yeye semapicha ya zamani hio .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ab-Titchaz............yule jamaa mwenye jezi namba 8 anaonekana kama ni Essien vile..................au macho ndio hivyo tena?
Hizi nale nale Ghana watazijutia.....
![]()
Haya wakuu, Algeria wameboa kweli gemu ya kwanza. Mie nishasogea Pretoria mtanage wa Ghana vs Serbia.
Karibuni jamvini.
Nimeeka picha ya zamani hapo mkuu.Ab-Titchaz............yule jamaa mwenye jezi namba 8 anaonekana kama ni Essien vile..................au macho yangu ndio hivyo tena?
lol! BJ Vuvuzela imeshakuwa taabu! Yeah! we can watch WC finals without Vuvuzela's irritating noise.
Hizi nale nale Ghana watazijutia.....
hivi wale watoto mapacha wa man united wakina rafael si wa serbia au?
hivi wale watoto mapacha wa man united wakina rafael si wa serbia au?