Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Ghana's Prince Tagoe is upended by Dejan Stankovic and Nemanja Vidic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalau game inachangamsha maana Algeria ilinilaza!
I don't like the style which Ghana are using............kukaba inabidi iwe man to man na sio kuziba position
Kumbe Patrice Evra amelalamikia Vuvuzela kuwa zinawafanya wachezaji washindwe kuwasiliana uwanjani.............Yes he has a point!

Mkuu football kukaba man to man ni suicide.....hii inatumika mara nyingi kwenye kona na mara chache against special players kama MESSI na RONALDO.....
Kumbe Patrice Evra amelalamikia Vuvuzela kuwa zinawafanya wachezaji washindwe kuwasiliana uwanjani.............Yes he has a point!
Kpindi cha pili kimeanza go Ghana goooo
Yani mwenyewe naangalia via TV ila masikio yanauma inabidi niweke sauti ya chinii mana nikiweka mute utamu wa mpira unapotea. Sasa walio uwanjani inakuwaje?baada ya mechi nadhani masikio yanakuwa kama vile yamepooza,hizo Vuvuz ni shughuli ya aina yake!!
Go Ghana,washinde angalau kutupa matumaini Afrika..
uliona jinsi wa-Algeria walivyokuwa wakikaba................my point is you don't wanna give your opponent a chance ya kuonyesha mbwembwe.........wee mwenyewe si unaona jinsi wa-Serbia wanavyokaba.........Ghana wakiwa na mpira tu tayari Serbia immediately wapo kutibua move ya aina yoyote...............na this first half Serbia wameonakana ni dangerous zaidi kuliko Ghana for that matter...........
![]()
Haya wakuu, Algeria wameboa kweli gemu ya kwanza. Mie nishasogea Pretoria mtanage wa Ghana vs Serbia.
Karibuni jamvini.
nimekupata mkuu,hio ni tight marking,sio man to man.......ni kweli wanatakuwa kuwa-close down waserbia quickly....