Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Mnawaona Ujerumani wanavyotishia amani!!!
Goooaaaallllll!!!!!!!!!!...dakika ya 7.
mfungaji....Podolski.
r u talking about thte yellow card? I thought the guy lost his footing and not a drogba dive...
BJ..hilo jina linatamkwa hivyo?
naona australia beki inawafungulia nafasi sana germany.
This may be the first high scoring game!
mzee huyu kipa wako mtarajiwa vipi tena?
ninachowapendea Ujerumani.............wakifika karibu na goli huwa hawana utani.........