World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

r u talking about thte yellow card? i thought the guy lost his footing and not a Drogba dive...
 
Hio ni miss ya wc so far....................
 
Germans mean business hakuna nale nale! Australia poleni
 
ninachowapendea Ujerumani.............wakifika karibu na goli huwa hawana utani.........
 
ninachowapendea Ujerumani.............wakifika karibu na goli huwa hawana utani.........

Hii timu bila Ballack bado ni bora....wakikutana na waingereza mmmhh shughuli pevu!
 
aaaaaah hiki kibonde kwa wajeremani
kipindi cha kwanza 2-0
kipindi cha pili (germ 2,austr 1)
jumla germ 4-austr 1
 
Back
Top Bottom