World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

denmark tangu wafungwe naona wanaanza kucheza mpira badala ya kulinda tu
 
duh naombea wasawazishe wa dennish,vinginevyo leo nitalazwa mzungu wa nne manake shemeji yenu kakuna hapa duh!!!
 
v.persie ana yellow....kapiga mpira baada ya filimbi kulia...excuse yake vuvuzela.....na imesaidia kasalimika 2nd yellow....
 
duh bendtner kachemshaa.....................
 
duh naombea wasawazishe wa dennish,vinginevyo leo nitalazwa mzungu wa nne manake shemeji yenu kakuna hapa duh!!!

He, mkuu... mbona uaweka mambo ya ndani sana hayo??? kakuna nini tena?
 
holland wamlete Babel aje kusumbua na pace yake kuli kushoto.

huyu babel asipoangalia kiwango chake kitadumaa.....unaona kuna huyo dogo sijui ELLIA...anasumbua haswa hicho unachosema pace....
 
Ukame wa mabao I am sure Brazil, span and italy will not let us down and second matches too will produce more goals
 
hawa denmark wana gronkjear na romedahl hawa watu hata premier iliwashinda 10yrs ago...........kazi ipo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…