World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Ringobet Song yumo? Siangalii hawa nilijua wataboa

huyo jamaa mileage nyingi kwenye miguu mkuu kuna wakina bassong siku hizi.

majungu yenu kwa Arsenal mpaka kocha anamueka bench A.Song wakati dogo angewasaidia sana pale midfield.
 
anahitaji msaada kutoka midfield pale mkuu,sasa kama midfield haipo creative inakuwa vigumu kwake ku-shine.

mkuu naomba kijana wako SONG aingie at least mpira utatulia midfield pale..............
 
Teh teh teh teh teh Umemwona Nic na Denmark?

ha ha ha yule katoka injury kocha kamlazimisha kwa vile ndio kifaa chao wanchokitegemea sio.


dogo mzushi sana kuna kipindi kila akienda timu ya taifa anapiga magoli akirudi Arsenal butu,sema Wenger nae alikuwa anamuharibia kumchezesha winger wakati jamaa mkali sana kati pale.
 
Jamaa bado kidogo lisababishe paneti..hii kweli mikubwa jinga..lol
 

Deadly Drog anacheza lini? Kule nako kuna akina Eboue
 
Haya mashindano ilibidi MISRI wawepo
 
hivi huyu kocha wao ana akili kweli??anamuweka WEBBO centre foward....ETO'O right winger............SONG bench......kateenager sijui kamecheza 3 int.games ndio kameanza.....aaaaargh
 
hivi huyu kocha wao ana akili kweli??anamuweka WEBBO centre foward....ETO'O right winger............SONG bench......kateenager sijui kamecheza 3 int.games ndio kameanza.....aaaaargh
ndo african soccer hilo....
 
Naanza kuwakumbuka Patrick Mboma na Marc Vivien Foe(RIP)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…