World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Naona game itakuwa ngumu sana hii........Timu zote ni kali kiaina
 
Paraguay wataondoka na vikapu vya kutosha leo
 
Hii mechi imechangamka.Kama siyo suluhu basi Italy watashinda lakini kwa mbinde.
 
Heheeeeeeeeee...............Italy 0 Paraguay 1...........Preta unaona????????????????????
 
He, mkuu... mbona uaweka mambo ya ndani sana hayo??? kakuna nini tena?


Mkuu shemeji yako alikuwa na furaha leo tangia asubuhi,hata kazini alirudi mapema kwa ajili ya mechi.Sasa alikuwa na uhakika watashinda na tulikubaliana baada ya mechi tutoke,halafu tukirudi anifurahishe,manake ana kelele kama ngedere...Sasa wapi wa dutch wameharibu utamu wote.Ameshalala,sasa nacheki gemu la Italy.
 
Wakuu, mvua inanyesha si utani.Waitaliano watalaunmu mvua kwa hii gemu yao hafifu,


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…