World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hii mechi imechangamka.Kama siyo suluhu basi Italy watashinda lakini kwa mbinde.
 
Heheeeeeeeeee...............Italy 0 Paraguay 1...........Preta unaona????????????????????
 
He, mkuu... mbona uaweka mambo ya ndani sana hayo??? kakuna nini tena?


Mkuu shemeji yako alikuwa na furaha leo tangia asubuhi,hata kazini alirudi mapema kwa ajili ya mechi.Sasa alikuwa na uhakika watashinda na tulikubaliana baada ya mechi tutoke,halafu tukirudi anifurahishe,manake ana kelele kama ngedere...Sasa wapi wa dutch wameharibu utamu wote.Ameshalala,sasa nacheki gemu la Italy.
 
Wakuu, mvua inanyesha si utani.Waitaliano watalaunmu mvua kwa hii gemu yao hafifu,

_48074439_gilardino_reu.jpg

 
Back
Top Bottom