Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Naona game itakuwa ngumu sana hii........Timu zote ni kali kiaina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kirahisi namna hiyo?Paraguay wataondoka na vikapu vya kutosha leo
kirahisi namna hiyo?
Paraguay wataondoka na vikapu vya kutosha leo
haya Pretahuwezi kuamini lakini ndio nakwambia....wacha tuone historia inasemaje leo
Angalie isije ikawa kinyume Preta.........Paraguay hawatabiriki hawa..............Italy wasitegemee mteremko kiviiiiiile
hawa wakatoloki wana nguvu ya soda tu,,, Pretawataliano wanashambulia sana....labda wachoke baadae
Preta uko wapi mbona ckuoni tenawataliano wanashambulia sana....labda wachoke baadae
He, mkuu... mbona uaweka mambo ya ndani sana hayo??? kakuna nini tena?
Kamoja tayari..Ngosha upozz?
Unajua mechi nimeikutia katikati. Italy wanaonekanaje?Nipozzzzzzzzzz mtani.......Nawaangalia vijana wanavyowahenyesha wazee wazima
bwana awe nanyiii!! haaahaaaaa leo kibokoNipozzzzzzzzzz mtani.......Nawaangalia vijana wanavyowahenyesha wazee wazima
Heheeeeeeeeee...............Italy 0 Paraguay 1...........Preta unaona????????????????????
Preta uko wapi mbona ckuoni tena
hawa wakatoliki wanaongozwa kwa goli moja tu