ndege wa rangi moja huruka pamoja eh uliona wapi bundi kwenye kundi la njiwa ehee! elewa kapu la mjanja mjinga hatii mkono,hayawi hayawi yamekuwa kesho ktk uwanja wa moses mabhida jijini durban(ethekwini)kwazulu natal,mabingwa wa ulaya 2008 spain chini ya kocha bora del bosque mwenye rekodi ya kushinda mechi 35 mfululizo wanacheza na swiss wazee wa hela sepp blatter,saa 11 kwa saa za afrika mashariki,spain saa 10 kamili au saa 8 gmt,japo torres,fabregas na iniesta hawatakuwepo ila ushindi upo kesho,refa ni howard webb toka england.
Iker Casillas
Sergio Ramos
Carles Puyol
Gerard Piqué
Joan Capdevila
Sergio Busquets
Jesus Navas
Xabi Alonso
Xavi Hernandez
David Jiménez Silva
David Villa
ukiwakosa spain jimalize! in spain and bosque i trust.