World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Huyu jamaa akipata faulo nyingine tutapoana,hii game IC wanatakiwa kushinda Portugal wachovu
 
6f9c583625144ca5f75ec5384993f8d8-getty-98687973bd056_ivory_coast_v.jpg


Gervinho of Ivory Coast is closed down by Bruno Alves of Portugal


800c9b8d384d79244b55ab46872d1a8c-getty-98687973jd038_ivory_coast_v.jpg


Raul Meireles of Portugal challenges Aruna Dindane of Ivory Coast during the 2010 FIFA World Cup South Africa


b3a5209e5cc9edde0dccd48026fab659-getty-98687973jd037_ivory_coast_v.jpg


Cristiano Ronaldo of Portugal pleads as he receives a yellow card from referee Jorge Larrionda

 
182108280e431d1790e440f979657ba4-getty-98687973bd032_ivory_coast_v.jpg


Cristiano Ronaldo of Portugal is stunned as he receives a yellow card from referee Jorge Larrionda


69498c0db6bc5ee145e4a62d8d194e62-getty-98687973jd035_ivory_coast_v.jpg



69001944d43d6493e9b6e8bbd593e2b9-getty-98687973bd033_ivory_coast_v.jpg



8cee01ce9fb7446c5e1b58afcfa2c76b-getty-98687973bd034_ivory_coast_v.jpg



559f23361fb2a4e57e9b2502cad569d9-getty-98687973bd029_ivory_coast_v.jpg



2533d44e70a476370b558e4fab2bf85e-getty-98687973jd030_ivory_coast_v.jpg
 
Kundi gumu sana hili kwa Ivorians kupenya. Wanachotakiwa kufanya ni kucheza defensive kwene mechi ya Brazil na kuhakikisha wanawabugiza goli nyingi za kutosha wale wakorea wakomunisti. Bila hivo wataungana na Cameroon kuwahi tiketi za mwanzoni za summer vacation.
 
As I said hakuna kushinda kwa Ivory coast ,salama waliyoipata ni kutulia kwa bahari na kunyonyota kulikofuatiliwa na upepo uliosababisha kibaridi kikali ,hali ambayo ndio iliyosababisha salama ya kufungwa.
 
Nadhani kundi hili watapita Ivory coast na Brazil, hawa wareno hamna kitu
 
Kundi gumu sana hili kwa Ivorians kupenya. Wanachotakiwa kufanya ni kucheza defensive kwene mechi ya Brazil na kuhakikisha wanawabugiza goli nyingi za kutosha wale wakorea wakomunisti. Bila hivo wataungana na Cameroon kuwahi tiketi za mwanzoni za summer vacation.[/QUOTER]

KIONGOZI MI NADHANI BRAZIL SIO WAZURI KIVIIILE MWAKA HUU WASHAMBULIE TU WATAPITA TU
 
KIONGOZI MI NADHANI BRAZIL SIO WAZURI KIVIIILE MWAKA HUU WASHAMBULIE TU WATAPITA TU
Ndugu yangu wahenga walinena ndovu akikonda hawezi kuwa sungura, na kumkurupusha simba aliyelala ni ushujaa lakini kufuata nyayo zake ni mauti.
 
Nina imani na Ivory, they played good, tatizo ni hilo group lao, nadhani Brazil atawabeba
 
duh nawasubria BRAZIL vs KOREA maanake hawa korea mazoezi yao kama ma-BUSH STAR............
 
duh nawasubria BRAZIL vs KOREA maanake hawa korea mazoezi yao kama ma-BUSH STAR............

Aloo bora ukatafute jingine la maana,kusubiri Brazili ni kutafuta kukosa usingizi ,kama ni ile Brazili nilioiona uwanja wa Taifa naona hawavuki.

Kuna watu hapa awana tofauti na Rizwan kikwete ,apa watu wamemshangaa alivyomkodolea macho Kaka na pia kumuona Kikwete ametenda kosa ,ila kuna wapambe humu naona walikuwa wanalia na Droghba ,yaani huwezi kusema ni limbukeni lakini inaonekana hawana tofauti na hao hapo juu.
 
ndege wa rangi moja huruka pamoja eh uliona wapi bundi kwenye kundi la njiwa ehee! elewa kapu la mjanja mjinga hatii mkono,hayawi hayawi yamekuwa kesho ktk uwanja wa moses mabhida jijini durban(ethekwini)kwazulu natal,mabingwa wa ulaya 2008 spain chini ya kocha bora del bosque mwenye rekodi ya kushinda mechi 35 mfululizo wanacheza na swiss wazee wa hela sepp blatter,saa 11 kwa saa za afrika mashariki,spain saa 10 kamili au saa 8 gmt,japo torres,fabregas na iniesta hawatakuwepo ila ushindi upo kesho,refa ni howard webb toka england.
Iker Casillas
Sergio Ramos
Carles Puyol
Gerard Piqué
Joan Capdevila
Sergio Busquets
Jesus Navas
Xabi Alonso
Xavi Hernandez
David Jiménez Silva
David Villa
ukiwakosa spain jimalize! in spain and bosque i trust.
 
_48085043_fans_getty.jpg


Haya SAMBA BOYS ndani ya nyumba......najua wengi tuna hamu ya kuona BRAZIL ikionyesha soka linavyotandazwa,je kutakuwa na kapu la magoli au N.KOREA wataleta surprise of the century??karibuni....
 
Back
Top Bottom