World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Haka ka nchi 21 kana nizingua mno mechi ijayo nahamia kwenye Big Sreen
 
Viungo wa Sauz wanaruhusu sana mashambulizi, inawapa wakati mgumu mabeki
 
Nimiujiza kumaliza half time bila goal maana yamekoswa mengi
 
mkuu mie pia napenda south africa hishinde lakini calls kama zile ndio zinaaribu soka wala hazisaidii.

Nakubali mkuu.Lakini kwa kiwango wanachocheza hawa Sauzi itabidi kubebwa tu.
Yaani hata kumaliza 1st half bila kufungwa ni bahati tu.

Tusubiri kipindi cha pili.
 
RSA wamejitahidi dakika za mwisho za kipindi cha kwanza. Nadhani itawapatia nguvu ya kuanzia kipindi cha pili. Ila Mex nao siyo wazuri sana. Wamepata nafasi nyingi na walitwakiwa kuwa mbele walau kwa goli 1.
 
Ni bahati kubwa kwa RSA kwenda halftime huku magoli yakiwa 0-0, defence inafanya makosa mengi sana ambayo watakuja kuyajutia.
 
.............DISALLOWED GOAL! Khune comes off his line and Vela turns home the near post flick. There was a man on the line but because the keeper was in advance of the Arsenal striker, the goal is chalked off. Great decision.......................
 
GUYS,i believe wote tut-learn something new abt offside
The Offside Rule and Offside Trap in Football(Soccer)


It is not an offence in itself to be in an offside position.



A player is in an offside position if:
  • he is nearer to his opponents' goal line than both the ball and the second last opponent

A player is not in an offside position if:
  • he is in his own half of the field of play
  • he is level with the second last opponent
  • he is level with the last two opponents
sasa basi yule aliekuwa golini(pienaar) ni last opponent ambae mara nyingi anakuwa ni kipa kama tulivyozoea kuona na kipa alikuwa ndani as second last opponent,kwahi ni OFFSIDE.
Binafsi nilikuwa sijui hii na leo ndio nimeelewa maana halisi ya offside,hata watangazaji wanaotangaza hapa ninappoangalia wamesema sio offside na wameelezea hivi,ikabidi nitafute hii tafsiri.
 
Mexico wachovu, South Africa wachovu mara mbili zaidi lol...Hao SA siwapi matumaini ya kupita hata kidogo.
 
.............DISALLOWED GOAL! Khune comes off his line and Vela turns home the near post flick. There was a man on the line but because the keeper was in advance of the Arsenal striker, the goal is chalked off. Great decision.......................

Baba Mkubwa naona umeelewa vizuri hio decesion,the best ever offside decision.....
 
Haka ka nchi 21 kana nizingua mno mechi ijayo nahamia kwenye Big Sreen

hahahahaha...kumbe tuko wengi lol!...mimi nina kanchi 24 nikawa naona hakatoshi... mechi ilipoanza tu nikahamia kwenye big screen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…