World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Waaaaa!!!...tumepona tena jamani..Refa wetu eti....😛ound:
 
Ingekuwa bongo wangesema wameroka mno maana hizi kosa kosa ni balaa
 
Goal linakaribia muda si mrefu, Sauzi wakipata droo watafurahi sana
 
what a stupid call.na bado FIFA hawataki video technology kama waamuzi wao wanaleta maamuzi ya kijinga kama yale.offside gani sasa hile wakati piennar yuko golini? mbona wanaanza kuaribu world cup yetu hawa maefa.
 
Inaonekana lilikuwa goli zuri, lakini refa kawauma mexico, ohh, hatari tena
 
Kwenye replay inaonesha kulikuwa na mchezaji kwenye golo la RSA. Nadhani Mex wamenyimwa goli?
 
Pathetic refereeing..Refa mwenyewe anatoka Pakistan mnategemea nini?
 
Ayaaah Bafana nao waanza uzembe wa Mexico wanagosa goli
 
Back
Top Bottom