World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

South walitaka kufanya counter lakini ended out-of-play
 
SA wanahitaji kutulia vinginevyo wanachezea moto au wamekalia singe
 
Kwa mara ya kwanza Pina ana-cross in into an empty play
 
Pina anakwenda chini - Mexico as usual wako kasi and tactical : South wanahitaji kuweka basi ili kuwakata nguvu mexican strikers
 
Beki ya South bado haijatulia - I can see a goal coming in the next few minutes!

Ab-T (right?)

Nakubali Sauzi nomaa kweli jamani.

Hata hivyo refa m-pakistani, labda huenda akaleta za kujuana eti...😛ound:
 
Carlos Dosantos ni mwiba kwa jioni ya leo: Anacheza uwanja mzima na naona beki wanamshindwa
 
Wakuu baadaye - naona ni vyema ni concentrate kidogo - halafu naona nakosa sereng

Later - All the best Ab-T
 
Hadi sasa kona mbili kwa goli la bafana ishara za kuelemewa
 
Wakuu baadaye - naona ni vyema ni concentrate kidogo - halafu naona nakosa sereng

Later - All the best Ab-T
2 u 2. Hebu tu-concentrate kidogo.

Haya free kick hio kwa wa-Sauzi.
 
Wakuu baadaye - naona ni vyema ni concentrate kidogo - halafu naona nakosa sereng

Later - All the best Ab-T

Poa Mkuu ila SA mbado sana ingawa wamepata faulo katika eneo la hatari. Je wataweza kufunga?
 
Mchezaji wa Mexico apigwa kadi ya njano ndio ya kwanza kabisa kutolewa katika michuano hii
 
Free kick to Mexico. SA wanatia huruma. Watakuwa na bahati wakiambulia sare
 
Kwa Ujumla dak hizi 25 za mwanzo Sauzi wameelemewa
 
Back
Top Bottom