Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi labda tutashuhudia magoli.
Spain na pasi zao kama Arsenal za kutaka kumpiga kipa chenga, wanaweza kushindwa kufunga..
nadhani umeona sasa
nadhani umeona sasa
Daah! Mwaka huu timu tulizotegemea zimeboa sana! Shida tunakalala spain brazil! Nazani game mwaka huu walocheza ya kuvutia ni germany na chile tu! Uchezaji wa spain leo kama jana brazil! Yani wanakosa magoli ya waz mpk aibu mtu anafika golini badala ya kufunga anatoa pasi! Haya sasa swiss hao wamejinyakulia!
Dah...............Nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
sisi tunaopenda underdogs poa tu.......ingawa mara nyingi tunaambulia maumivu.....
Wamwingize mchezaji wa Chelsea awasaidie Torres! hahahahaha Bala na Arsene msianze vurugu
Wamwingize mchezaji wa Chelsea awasaidie Torres! hahahahaha Bala na Arsene msianze vurugu
I love underdogs as well hata mademu wangu ni underdogs!