World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Spain na pasi zao kama Arsenal za kutaka kumpiga kipa chenga, wanaweza kushindwa kufunga..

Daah! Mwaka huu timu tulizotegemea zimeboa sana! Shida tunakalala spain brazil! Nazani game mwaka huu walocheza ya kuvutia ni germany na chile tu! Uchezaji wa spain leo kama jana brazil! Yani wanakosa magoli ya waz mpk aibu mtu anafika golini badala ya kufunga anatoa pasi! Haya sasa swiss hao wamejinyakulia!
 
Fernandes afanya mambo! Huyu Pique kaumia ....I can see blood....football can be a very unfair sport!
 
Daah! Mwaka huu timu tulizotegemea zimeboa sana! Shida tunakalala spain brazil! Nazani game mwaka huu walocheza ya kuvutia ni germany na chile tu! Uchezaji wa spain leo kama jana brazil! Yani wanakosa magoli ya waz mpk aibu mtu anafika golini badala ya kufunga anatoa pasi! Haya sasa swiss hao wamejinyakulia!

raha ya mpira zile timu tunazotegemea kushinda zisumbuliwe.sio timu zile zile tu ziwe zina tesa.hapa sasa spain wataamka zaidi na ndio washabiki wa mpira tuna enjoy.
 
Wamwingize mchezaji wa Chelsea awasaidie Torres! hahahahaha Bala na Arsene msianze vurugu
 
Spain watajutia nafasi walizopoteza 1st half, Swis wanaweza kupata goli la pili.
 
Hiviiiii.....Viwango vya team kama Brazil, Spain and Holland VIMESHUKA au viwango vya timu pinzani ndio VIMEPANDA?
 
Brilliant defense from Swiss....hawa jamaa ni superb hawa Spaniola wanatisha majina yao! Iniesta, Alonso, Ramos, Villa, Silva, Cesc uwiiiiiiii
 
nadhani pale refarii alikuwa anaangalia kitakachotokea, Nkufo asingefunga refa angetoa penalt.
 
Hawa waswis wanakaribisha mashambulizi sana, Torrez ndani!
 
Back
Top Bottom