World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hivi wanao ona LIVE ni sisi tuna tizama kupitia Luninga au wale wale walioko uwanjani?
 
Sauzi haendi kokote leo kwa game hii Nadhan wakirudi watapigwa la pili nakuyazima kabisa mavuvuzela yaani hata watangazaji wa SS3 wamekuwa wapole wasio na bashasha zao zile za kawaida! mwenyeji kufungwa inauma kweli
 
Labda 2nd half s.a watarudi na mbinu mbadala zitakazowezesha kusawazisha goli na kupata mengine ya ushindi!

Jamaa wanacheza bila malengo. Halafu utaona jinsi wachezaji walivyo wabinafsi, kama huyu Shabalala kabore anataka kufunga pekee yake. Roho mbaya zetu ndo zinatumaliza waafrika, fuatilia uwanjani utaona wachezaji wanavyo behave 'mimi kwanza'. Hii nimeiona karibu timu zote za Afrika , they dont play as a team. Ndo maana hata kwenye maisha yetu hii kitu inakula, gap kati ya tajiri ni kubwa sana kwa sababu tajiri anataka ajulikane na aabudiwe yeye. Mungu tunusuru na hili weupe wanatujua na ndo maana tunazidi kua masikini hali tunakila kitu kama ilivyo kwenye soccer tuna wachezaji but ubinafsi unaturudisha nyuma. Anyway tuone 2nd half.
 
2nd half, huenda tutashuhudia s.a wakisawazisha.
 
here we go 2nd half imeanza hapa sijui naona kama within twnty min vuvuzela zitapungua kelele uwanjani!!
 
Hivi wanao ona LIVE ni sisi tuna tizama kupitia Luninga au wale wale walioko uwanjani?

WOTE....maana yake ni kuwa wewe unaeangalia thru tv unaona kile kile ambacho yule wa uwanjani anakiona kwa naked eyes at the same time.......
 
Mkuu me nimeamua kulala hapo hamna nini wala ni lazima waongezwe tu tupende tusipende...
 
Lol kipindi cha pili ndo hicho wako vile vile hawa wameondoka sasa
 
Pienaar kafichwa, s.a wamekata tamaa kabisa. Tujipe moyo bado muda upo.
 
Alafu tukumbuke South Africa wamepata nafasi ya kushiriki kwa vile ni ma-host kama sio hivyo wasingekuwepo.kwahio wanahitaji dua zetu lol tusikate tamaa lol.
 
Alafu tukumbe South Africa wamepata nafasi ya kushiriki kwa vile ni ma-host kama sio hivyo wasingekuwepo.kwahio wanahitaji dua zetu lol tusikate tamaa lol.

Mkuu hua tena? Ile kiungo liyotoka ilikuwa inashikilia pale kati kidogo huyu aliyeingia sufuri zaidi
 
Mie siangalii tena kwa TV hii mechi nitapata matokeo 90mnts hapa JF kama yaabadilika..jamani SA mapema hivi!!
 
SA kwa hizi pass za kurejesha nyuma mpira, wasipo jirekebisha watalala bila...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…