Higuain anaipa Argie bao la tatu
Utabiri wangu: Messi 3- South Korea 1
Game inapigwa saa 8.30 Mchana kwa saa za Afrika Mashariki katika dimba la Soccer City
Ni Mapumziko sasa na kwa Argentina wameshingwa kuzuia South Korea wasipate Goli, Kipindi cha Pili kitakuwa kizuri sana maana Korea watakuwa wamepata Nguvu kwamba inawezekana kwa hiyo watapanda mbele kushambulia kitu kinachoweza kutoa nafasi kwa akina TEVEZ, MESSI na Higuain kuleta madhara langoni mwao, kwa hali hii naona SK watategemea zaidi Counter Attack
Maradona atamuingiza Mapema Diego Millito na Kun Aguere kuchukua nafasi za Higuain na Di Maria ili kuongeza zaidi kasi ya Ushambuliaji