World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Messi hana bahati ni Mchezaji pekee ambaye Makipa wamemnyima Goli nyingi sana
 
kweli madogo leo wanakufa kiume!
majina makubwa aya argie
 
Baridi kweli huko Sauzi!!!!

_48096972_icicles_ap.jpg
 
Argentina inakuwa ni timu ya kwanza kufuzu kwa Raundi hii
 
the job is done by Higuain.


sasa south korea wana kazi kubwa sana ya kumfunga Nigeria kama wanataka kupita.na Nigeria nao inabidi wawafunge Greece leo kwa magoli mengi.
 
Ni Mapumziko sasa na kwa Argentina wameshingwa kuzuia South Korea wasipate Goli, Kipindi cha Pili kitakuwa kizuri sana maana Korea watakuwa wamepata Nguvu kwamba inawezekana kwa hiyo watapanda mbele kushambulia kitu kinachoweza kutoa nafasi kwa akina TEVEZ, MESSI na Higuain kuleta madhara langoni mwao, kwa hali hii naona SK watategemea zaidi Counter Attack

Maradona atamuingiza Mapema Diego Millito na Kun Aguere kuchukua nafasi za Higuain na Di Maria ili kuongeza zaidi kasi ya Ushambuliaji

Itabidi Jioni ya Leo nikaungane na Teamo na Crispin tukachambue game ya France VS Mexico naamini watanikaribisha
 
Back
Top Bottom