Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
..............Sio wadada tu moto haka kaka zao macho juu juuu.
Kabla ya WC kuanza nilisema kwamba vibonde wa kundi hili ni SA na France, salama ya hawa wawili ni ktk mechi ya Mex na Uruguay mmoja amfunge mwenzake kitu ambacho ni very unlikely, a draw will be enough for both teams.2-0 game over......WC over for france??
Kabla ya WC kuanza nilisema kwamba vibonde wa kundi hili ni SA na France, salama ya hawa wawili ni ktk mechi ya Mex na Uruguay mmoja amfunge mwenzake kitu ambacho ni very unlikely, a draw will be enough for both teams.
sikutegemea kama watakua wabovu kiasi hiki...................
Count both teams out, kwa sababu mechi ya mwisho wanakipiga Uruguay na Mexico, na wakipiga droo kila mmoja anakuwa na points 5 ambazo haziwezi kufikiwa na wote SA na France.2: 0 imekaa vizuri kwa SA kwa matokeo kati yao na France.
watu walikuwa wanalitetea hili kocha.BLANC anapewa timu sasa sio ***** hilolimekuja kulostisha watu.