World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Hehhee punguza hasira ndio ukubwa....baada ya mechi njoo tupate shots za Tequilla achana na French Wine/Champagne.

waliyataka wenyewe wamembiwa kocha lifukuzeni hilo baada EURO kaishiwa mbinu wao hawataki,mbaya zaidi kocha mwenyewe mjeuri pia.
 
.........Sikutegemea hawa amigos kuwafunga france.
 
wa mexico ukitaka kuwasimamisha ni kwa physical game tu lakini ukitaka kucheza nao soka lenyewe bila miguvu wanakuaibisha vizuri tu.
 
France is shocking.Ina wachezaji ambao hawana moyo kabisa!Angalia Mexico walivyokuwa na passion!Labda ina wachezaji wengi wasio na asili hasa ya France,wengi wanatoka kwa makoloni.

Kama mpenzi wa arsenal nimeona watu kama Diaby,Galas na Sagna ni waste of space,ndio maana Arsenal haiendi vizuri.ANELKA ni Le Sulk.
Racists kama Le Pen anasema team hii haiwakilishi France,kiasi watu wa France wanaamini hivyo maana hakuaneffoerk kabisa.
Tuone Blanc atafanyaje??????????????
 
Hongera kwa kuanzisha hii thread....nilihisi utakuwa unawashangilia hao hata mimi nawafagilia pamoja na kuwa sikupenda namna walivyoingia kwenye fainali za WC kupitia goli la Mungu...LOL! lakini sijui kama wataweza kwenda mbali.

BAK,acha tu yani inabidi niwe nashangilia vice-versa mana naona France nao mdebwedo leo..So Mexico wako ktk nafasi nzuri kwenye hilo kundi..I hope wabaya wa France wale Ireland wamefurahi mana lile goli lilileta kasheshe sana!!
 
Belinda upo....leo hamtointroduce hand of Gaul?

Nipo Eqlypz,naona usingizi ulinipitia mana hawa France kweli waliingia kibahati WC..leo hata hiyo Hand of Gaul isingework!..naona wao na SA bye bye vile kwenye group yao!!
Bora Germany wananifurahisha,niwasubirie kesho!!
 
BAK,acha tu yani inabidi niwe nashangilia vice-versa mana naona France nao mdebwedo leo..So Mexico wako ktk nafasi nzuri kwenye hilo kundi..I hope wabaya wa France wale Ireland wamefurahi mana lile goli lilileta kasheshe sana!!

BJ..it is over for France:angry: …Now they have to rebuild their team from scratch in order to participate in 2014 WC. They can do it due to the fact that they have very good players in their domestic league….but it won't be an easy task.
 
Good results for the host, they have to smash France for at least 3 goals to nill while Uruguay do the same to tough Mexican. Both (SA & Mexico) will have 4 points but goal difference will favour SA.
 
oooh we s.korea!!
phew,hope our nigeria proud boyzz will represent us
kama wao wameweza kwanini sie tushindwe?

Another Mauzauza from African Team...:frown1:... Au ile big skrini ilikuwa ya kichina ikaonyesha mechi feki, maana iliandikwa "DIRECTO" badala ya LIVE...lol

Hebu wadau nipeni matokeo ya jana.... Pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz!!
 
france has more starters for elite champion league clubs than any other country including spain, england, germany, argentina and brazil. yet they didn't deserve to be in the tournament and are by far the worst team in
I am impressed by the 2010 World Cup coverage here in the US...the in-depth analysis at half time and at the end of the games by football greats; the Online Coverage have all been outstanding. The 2002, 2006 World Cup and the 2008 Euro had mediocre coverage with analysts that do not know the game..Kudos to ESPN and Fox Soccer Channel (FSC). I like the end of the day analysis on FSC.


the french federation should probably kill themselves for keeping domnech after he proposed to his GF when asked about why his team stunk at euros.

i mean these are world class players who are stars for barca, man u, arsenal, chelsea, bayern, lyon etc. and they are all at the prime of the careers and they hire a fool who proposes to his girl friend after his team stunk thanks to his stupidity.


They have it coming. Karma.... they shouldn't be in the tournement anyway.


mexico looked extremely sharp in the final attacking third of the pitch. they can possess well too. they looked like they played at the same level as brazil or argentina. the only weakness i see is mexico is handling a very physical team and losing temper, but if they stay cool and play into their own strengths, they can make the quarter finals, and with some luck, go even further.


domench will probably get shot to death in the streets of marselle before he gets sacked.


this france team has more talent than brazil, argentina, england, germany or even spain. the french federation are beyond stupid for keeping demech after euro08. but in reality they didn't even deserve to qualify. as soon as these world class players put on a france shirt, they are nothing more than complete overrated trash thanks to horrific coaching.


"France was utterly atricious yet the Mexicans needed an offside and a dive over a prone defensive player in order to score. True mediocrity thy name is Mexico."
hey im a US fan too but mexico deserve this one. the score could have been much uglier for france. both goals perfectly legit and well deserved. france is the prime example of embarrassment of riches.

france with their entire line up nearly all starters for man u, arsenal, chelsea, bayern and barca should have more than enough talent to win the world cup. like these are the world best players in their club uniforms, but as soon as they put on a france shirt they stink. france played very selfishly and lacked passion.


As a fan of Bayern Munchen, today was exactly the reason that I had hoped that Ribery would have been signed somewhere else. He is so full of himself it is ridiculous, this French team really blows. I would not want to be them when they land that plane in Paris sometime next week; unbelievably poor showing for all these "alleged stars". Diaby could not even begin to replace Viera in the middle of the pitch. That other idiot that they had running around out there should have been left at home in France, I think his name is Govou something or another. He sucked!!! I can't even describe how poor they played. Henry should have let that ball go out of bounds so Ireland could come to S.A. and fight for a spot in the next round. French people should really be pissed.


The French played like shyt!! Patrice Evra is no captain, he might have cried during the National Anthym but that was because he knew that they had to actually play the game. If you are playing one striker up top, why was Anelka constantly coming back for the ball or going to the wings? Anelka, Ribery, and Malouda have started believing their own press and think they are a one man show, they sucked!!! Evra is one of the best left backs when he is with ManU, but he looked atrocious today with that collection of bozos. The back line looked like shyt, Gallas, Bacary something or another, Abidal, they all sycked. I hope they get the fck out of South Africa after the next game because they do not belong with the elite athletes that are playing in this World Cup. No heart, no pride, no fight!!



Hivi ndivyo wapenzi wa soka wanavyo sema kuhusu mechi ya jana kati ya France V Mexico.
 
Hivi Kile Kibabu Cha Mexico chenye kitambi kinaitwa BLANCO ndio kinashikilia Mambo ya Kamati ya Ufundi nini? Kwa sababu jamaa ni Mzito lakini huwa anachukua Sub, huwa ananicehekesha sana maana hata mpira upite karibu yake huwa haangaiki kuufuata
 
Nakubaliana nawe mkuu...

Na mimi naomba niungane na nanyie.......japo inauma lakini ndio ukweli. Yaani wanaigeria walivyokuwa at easy jana mpaka nikadhani wamesahau kwamba wanacheza kombe la dunia. Hawakuwa na morali ya mpira kabisa........simply walikuwa wabinafsi sana.

Lakni jamani tuacheni utani.....hivi kipa wa nija hamkumuona au vipi? Mbona hamja-appreciate jinsi alivyokuwa anajituma jana. Kwa kweli mimi alinifurahisha sana.:A S crown-1:
 
POleni mashabiki wa France ndo hivyo tena wachezaji hawajitumi kabisa
 
Tatizo sio wachezaji tatizo ni Raymond Domenich mpumbavu sana,MAXIMO ni bora kuliko huyo DOMENICH

Nimeona mashuti kama mawili ya Gignac.Mashuti ya kuangulia nazi. Sasa sidhani kama ni kazi ya kocha kukufundisha jinsi ya kupiga mpira. Vitu vingine ni basic tu.
 
Tushasema tangu awali kwamba hawa France ni wasindikizaji tu....Zama zao zishapita.....Ndo maana hata South Afrika walienda kwa kubebwa na goli lakono la Thierry................Wish Ireland wangeenda na kuleta ushindani.....Si wachovu hawa France
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…