World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Nafasi kama hii ni hadi 2014....Kaita katukera sana wapenda soka wa Africa.
 
HEHEHE!haya twende kazi sasa...
ngoja nifunge mafaili ya ofisi
 
Here we go Mpira umeanza tayari ngoja tuone yatakayojiri!!
GERMANY
01 Neuer
03 Friedrich
14 Holger Badstuber
16 Lahm Captain17 Mertesacker
06 Khedira
07 Schweinsteiger
08 Ozil
10 Podolski
11 Klose
13 Muller

Serbia

01 Stojkovic
03 Kolarov
05 Vidic
06 Ivanovic
20 Subotic
10 Stankovic Captain14 Jovanovic
17 Krasic
18 Ninkovic
22 Kuzmanovic
15 Zigic
 
Wakina Podoski wana njaa kweli pale mbele wanakila dalili zakupata Ushindi German
 
Waafrica hatujiamini kwa kila kitu, badala ya kutulia uwanjani wanaleta hasira na kuona kama wanaonewa. tutabakiaga hivyohivyo hadi lini mbele ya hawa watu weupe jamani? inakera kwakweli.
 
leo wanashindana yellow cards tu............refa anataka kuwa celeb leo......
 
Kama bangi nadhani players wanakuwa checked before mechi nadhan kupitia mkojo sidhani kama zitakuwa bangi zile..malezi tu huenda alianzia kucheza soka la kitaani kama pale Magunia au manzese enzi zile .Ngumi zilikuwa nje nje we refa anachezesha mpira huku anasime kiunoni!!
 
Wakina Podoski wana njaa kweli pale mbele wanakila dalili zakupata Ushindi German
Hiyo ni kweli japo hata Serbia siyo kidogo ni wakali. Naamini kuwa kama serbia watacheza kama Game ya kwanza basi imekula kwa. lakini kama watakaza basi Gemu si rahisi kwa German
 
HEHEHE!haya twende kazi sasa...
ngoja nifunge mafaili ya ofisi
Acha ufisadi mda bado unafunga mafaili. utaona tu hilo kombe, halafu timu unayoshabikia itafungwa kama unaowatumikia watanung'unika!!
 
Acha ufisadi mda bado unafunga mafaili. utaona tu hilo kombe, halafu timu unayoshabikia itafungwa kama unaowatumikia watanung'unika!!
eeena muyawe!NGWEELIWE SANA
 
matokeo ya kutoa kadi kama peremende hayo leo watamaliza 9-9.......
 
vipi bado hakijaeleweka huko!
PODOSKI HAJAFUNGA TU?
 
Nilijua German watauza mechi ili waibebe Serbia.

Hii walishaifanya mwaka 1986 kama sikosei baada ya kupanga mechi na ALGERIA wakatolewa.

Kitakachotokea sasa ni Ghana kufungwa na German na Serbia kuifunga Australia.

Cha muhimu ni keshi Ghana kufunga magoli mengi wakiweza.

Ahh, Miroslaw Klose kapigwa njano mbili na sasa yuko nje kwa RED. Faulo ya kijinga, katikati ya uwanja.

Hapo hapo Serbia wamefunga goli, kama sikosei Ivanovic.
 
Back
Top Bottom